Msaada: Ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

srinavas

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Messages
3,337
Likes
1,793
Points
280
srinavas

srinavas

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2011
3,337 1,793 280
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...

Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote kwenye hili anijuze na mchanganuo mzima.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa..

===========================================

Kuna Aina Nyingi Za Kuingiza Pesa Kupitia YouTube Channel.

1. Google Adsense
- Hii Ni Program Ya Google Wenyewe, Wana Kitengo Chao Cha Matangazo Kinaitwa Google Adwords (Hata Wewe Kama Una Biashara Yako Unaweza Kutangaza Pia),

Kwahiyo Wafanyabiashara Wanapotangaza Kupitia Hiyo Program, Hayo Matangazo Unaweza Kuyafanya Yakawa Yanaonekana Kwenye YouTube Channel Yako Kupitia Setting (Utaona Kuna Kisehemu Kimeandikwa Monetize Your Account).

2. Direct Ads
- Hata Inatokea Kama Channel Yako Imekuwa Maarufu Sana ( Eg Diamond Platnumz & AyoTv ) Na Inatazamwa Na Watu Wengi Zaidi, So Makampuni Yanaweza Kutangazwa Kupitia Channel Yako Directly, Mfano. VodaCom Wanatangaza Directly Kwenye AyoTV Na Diamond Alipata Direct Ad Kutoka Kwa Dr Mwaka

3. Affiliate Marketing
- Hii Mara Nyingi Ni Kwa Wale Ambao Hutengeza Tutorials, Unaweza Kufundisha Watu Kufanya Make Up, Then Ukawapa Direct Link Ya Amazon Ya Hizo Bidhaa Unazotumia, Wakizinunua Unapata Commission

N.B.Hakikisha Video Ni Zako Na Ni Quality, Na Si Za Ubaguzi Au Ngono
 
Ze General

Ze General

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Messages
1,354
Likes
987
Points
280
Age
25
Ze General

Ze General

JF-Expert Member
Joined May 10, 2014
1,354 987 280
Ngoja waje wazee wa subscriberz
 
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,379
Likes
1,052
Points
280
MAGARI7

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,379 1,052 280
Hata Mimi ninashauku ya kufahamu.
 
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,307
Likes
814
Points
280
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,307 814 280
Mimi wananilipa kwa electronic transfer moja kwa moja kwenye account yangu. Kutegemea na nchi uliyopo wanasupport check, EFT, Western Union etc.
 
srinavas

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Messages
3,337
Likes
1,793
Points
280
srinavas

srinavas

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2011
3,337 1,793 280
Mimi wananilipa kwa electronic transfer moja kwa moja kwenye account yangu. Kutegemea na nchi uliyopo wanasupport check, EFT, Western Union etc.
Na mchanganuo wake ndio upoje? Na wewe ni channel yako gani wanayokulipia? Unaweza nipatia link tafadhali nikaiona!?
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
1,260
Likes
1,039
Points
280
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
1,260 1,039 280
wanalipa kutokana na views,advertisement(Pay-per-click (PPC),
ila ninavyojua ili uweze kulipwa lazima umonetize account yako kwanza,content zako ziwe original(video unazoweka,miziki,yote isiwe na copyright)
ikiwa na copyright nyingine zinafutwa,au earning zinakwenda kwa mwenye original content
..1000views=1.30$
 
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,307
Likes
814
Points
280
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,307 814 280
Na mchanganuo wake ndio upoje? Na wewe ni channel yako gani wanayokulipia? Unaweza nipatia link tafadhali nikaiona!?
Kwa kifupi unachotaka ni views na "engagement".
Makampuni wanawalipa Youtube (Google) kuweka matangazo yao youtube na kila mtu akiangalia tangazo wakati yupo kwenye video yako basi na wewe unapewa vijisenti.

Ni vigumu sana kujua utapata kiasi gani maana inategemea mambo mengi sana, aina ya tangazo, alipo mwangaliaji etc. Pia anapo click tangazo unapata kiasi fulani.

Mtu anapofungua video yako na kuiangalia kwa angalau sekunde 30 hiyo ni view ila sio kila view itakupatia hela maana sio kila mara wanaonyesha tangazo.

Kuna hizi calculator online zinakupa kadirio la mapato kutokana na views
Estimated Youtube Money Calculator (By Social Blade)

Ushauri wa kawaida ni kufocus kwenye niche (sekta) moja kwenye channel yako ya youtube so kama ni games basi kila siku iwe games au vitu vinavyohusiana ili watu wajiunge na channel yako na wawe wanaangalia video kila unapotoa.

Jihadhari na kubandika kazi za watu za aina yoyote maana hii ina penalty zake ikiwemo kufungiwa account. Kumbuka kuwa hata game ni kazi za watu na watengeneza game wakikumind wanakubania.

Nisengependa kuweka channel yangu humu ila inadeal na mambo ya technolojia.
 
Kadada

Kadada

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
200
Likes
188
Points
60
Kadada

Kadada

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
200 188 60
Na nikitaka kuweka muziki au video yangu Youtube ili kuiuza kwa viewers. Steps ni zipi
 
G

gambalakobe

Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
53
Likes
40
Points
25
Age
26
G

gambalakobe

Member
Joined Jul 1, 2015
53 40 25
Wakuu, naomba msaada nimesumbuka na hili swali muda sasa. Hivi msanii anapoweka video YOUTUBE anipigia promo hili watu waitazame hivi anapataga faida gani.???

Je huwa anaingiza pesa?? kama anaingiza ni kwa jinsi gani??

Je kama anaingiza nini kinaonesha kuwa anastahili kulipwa ????

Je kama analipwa analipwa na nani na kwa jinsi gani??

Kama zinamuinguzia hela kupitia Viewers je ni idadi gani inahitajika au wanamcalculateje???
WAKUU NAOMBA MSAADA KWA WANAO FAHAMU.
 
Troojan

Troojan

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
911
Likes
422
Points
80
Troojan

Troojan

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
911 422 80
Ahsant kwa kuhuliza. Ngoja wajuzj watujuze
 
Mis powers

Mis powers

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
1,641
Likes
1,296
Points
280
Mis powers

Mis powers

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
1,641 1,296 280
Inamsaidia watu wengi kuiona video yake na kumpelekea kuweza kupata shows kutokana na jinsi wmbo wake ulivyokubalika
 
GTA

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Messages
880
Likes
582
Points
180
GTA

GTA

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2013
880 582 180
Wakuu, naomba msaada nimesumbuka na hili swali muda sasa. Hivi msanii anapoweka video YOUTUBE anipigia promo hili watu waitazame hivi anapataga faida gani.???

Je huwa anaingiza pesa?? kama anaingiza ni kwa jinsi gani??

Je kama anaingiza nini kinaonesha kuwa anastahili kulipwa ????

Je kama analipwa analipwa na nani na kwa jinsi gani??

Kama zinamuinguzia hela kupitia Viewers je ni idadi gani inahitajika au wanamcalculateje???
WAKUU NAOMBA MSAADA KWA WANAO FAHAMU.
Pesa anaingiza via Google Adsence. So wasani wengi wamejiunga na huduma hiyo ya matangazo kutokea kwenye video zao.
 
J

JAY BLACK

Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
12
Likes
12
Points
5
J

JAY BLACK

Member
Joined Jun 15, 2016
12 12 5
Wasanii au mtu yoyote mwenye channel iliyothibitishwa na Youtube anaweza kuingiza kipato kupitia matangazo yanayowekwa katika video mfano wa matangazo hayo ni matangazo ya video(Skippable Ads) ambayo huanza kuonekana kabla ya video husika kuanza kucheza pia kuna matangazo ya graphics(overlay) ambayo hutokea ndani ya video huwa yanaonekana zaidi chini ya video na mengine huonekana nje ya video pembeni.Matangazo haya huwa yanatolewa kupitia mfumo wa matangazo kwenye mitandao unaojulikana kama adsense ambao unamilikiwa na google na hela inayopatikana kupitia haya matangazo hugawanywa kwa asilimia kati ya Youtube na mtu anayemiliki channel ya Youtube inayodisplay matangazo hayo mfano msanii au mtu yoyote anayemiliki channel ya youtube na malipo hufanyika kupitia Western Union,Cheque au Wire Transfer kwenda kwenye account ya Bank.
Watu wengi wamekuwa wakitumia vibaya mfumo huu kwa kupakia video zinazohamasisha ngono,mauaji,ubaguzi au kuiba na kupakia video amabazo hawazimiliki jambo ambalo ni kinyume na taratibu za Youtube na matokeo yake huwa ni channel yako kufungiwa au kupelekwa mahakamani.....
 
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Messages
6,869
Likes
5,452
Points
280
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2016
6,869 5,452 280
Wasanii au mtu yoyote mwenye channel iliyothibitishwa na Youtube anaweza kuingiza kipato kupitia matangazo yanayowekwa katika video mfano wa matangazo hayo ni matangazo ya video(Skippable Ads) ambayo huanza kuonekana kabla ya video husika kuanza kucheza pia kuna matangazo ya graphics(overlay) ambayo hutokea ndani ya video huwa yanaonekana zaidi chini ya video na mengine huonekana nje ya video pembeni.Matangazo haya huwa yanatolewa kupitia mfumo wa matangazo kwenye mitandao unaojulikana kama adsense ambao unamilikiwa na google na hela inayopatikana kupitia haya matangazo hugawanywa kwa asilimia kati ya Youtube na mtu anayemiliki channel ya Youtube inayodisplay matangazo hayo mfano msanii au mtu yoyote anayemiliki channel ya youtube na malipo hufanyika kupitia Western Union,Cheque au Wire Transfer kwenda kwenye account ya Bank.
Watu wengi wamekuwa wakitumia vibaya mfumo huu kwa kupakia video zinazohamasisha ngono,mauaji,ubaguzi au kuiba na kupakia video amabazo hawazimiliki jambo ambalo ni kinyume na taratibu za Youtube na matokeo yake huwa ni channel yako kufungiwa au kupelekwa mahakamani.....
Asante sana kwa ufafanuzi na tahadhari kwa wanaotumia vibaya mitandao
 
Forum statistics

Threads 1,235,814
Members 474,742
Posts 29,236,857