TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,118
1,915
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.

Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye simu za Android isingekuwa hivyo basi YouTube ingeshafutwa kwenye simu za vijana wengi.

YouTube ni mbovu kwenye impression haiwezi kusukuma video za Creators kwa watazamaji automatically mpaka promotion itumike wakati TikTok inapeleka content mbele ya watazamaji automatically ilimradi uwe na content nzuri.

TikTok kusumbuliwa Marekani kwamba itazuiwa hiyo ni njama ya YouTube kutaka kumng'oa kwasababu ya yeye kupoteza mvuto sokoni hapendwi tena.

Natabiri kifo cha YouTube kwa siku zijazo hilo halina ubishi TikTok akitaka kummaliza kabisa YouTube aruhusu Video za mpaka lisaa limoja au zaidi pia aboreshe mfumo wa malipo makubwa kwa Creators hapo YouTube atakufa kabisa.
Twitter naye yupo kwenye mpango wa kummaliza YouTube kwa kuruhusu Video ndefu.
 
Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
 
Youtube ki kitengo cha watu makini walio na maarifa,youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huw hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Nakubali
 
Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Channel yako ilifahamikaje kama hukupiga promo, TikTok huna haja ya promo ndo kinachovutia vijana
 
Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Tiktok ni mtandao wa kipumbavu sana, umejaa mambo maharibifu
 
Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Uko sahihi mkuu....hawa form four failure huwa wanadhani mtazamo wao ndio uhalisia. YouTube is there to stay.
 
Back
Top Bottom