Umeshindwa kupakua video na audio toka YouTube?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Umeshindwa kupakua video na audio toka YouTube?

images%20(2).jpg

Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu yake?

Kama unahitaji kupakua video au audio Kama vile kwenye simu labda masuala ya dini, makala mbalimbali , music, movies na nk inawezekana.

Okay Leo nitakuambia app Bora za kutumia kuweza kupakua video na audio kwenye YouTube Yako ni rahisi sana tumia hizi app ila azipatikani kwenye soko la Play store inabid uipakue google.

1) Newpipe
2) YouTube Go
3) SnapTube
4) Ymusic
5) vidmate
6) ItubeGo
7) 4kdownload

Ni app ambazo nzuri sana utaweza kupakua video , Audio , picha na nk kupitia platforms mbalimbali YouTube , Instagram, TikTok, Facebook na kuweka kwenye simu Yako.

Unatumia njia gani kupakua video na Audio toka YouTube kuja Kwenye simu Yako tuachie maoni Yako ?
 
Binafsi natumia website kwenye browser ya simu iwe iPhone au Android phone

Fungua hapo kisha search
Baada ya hapo chagua video/audio unayotaka kushusha kisha chagua qualy then shusha mzigo
 
Umeshindwa kupakua video na audio toka YouTube?

View attachment 2750490

Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu yake?

Kama unahitaji kupakua video au audio Kama vile kwenye simu labda masuala ya dini, makala mbalimbali , music, movies na nk inawezekana.

Okay Leo nitakuambia app Bora za kutumia kuweza kupakua video na audio kwenye YouTube Yako ni rahisi sana tumia hizi app ila azipatikani kwenye soko la Play store inabid uipakue google.

1) Newpipe
2) YouTube Go
3) SnapTube
4) Ymusic
5) vidmate
6) ItubeGo
7) 4kdownload

Ni app ambazo nzuri sana utaweza kupakua video , Audio , picha na nk kupitia platforms mbalimbali YouTube , Instagram, TikTok, Facebook na kuweka kwenye simu Yako.

Unatumia njia gani kupakua video na Audio toka YouTube kuja Kwenye simu Yako tuachie maoni Yako ?
Mimi simu yangu Ina App ya YT Music lakini inaniambia music streaming is not yet available in this country, but I can still play songs saved in my device. Yaani nyimbo nilizozidownload through other sources ndio naweza kuziplay. Sasa waliniwekea ya nini hii App alafu ni Uninstalled sasa🙄
 
Mimi simu yangu Ina App ya YT Music lakini inaniambia music streaming is not yet available in this country, but I can still play songs saved in my device. Yaani nyimbo nilizozidownload through other sources ndio naweza kuziplay. Sasa waliniwekea ya nini hii App alafu ni Uninstalled sasa
Sasa YouTube Music yanini man wakati miziki unapata kirahisi tu huko YouTube... Tumia Telegram bots, SnapTube (Hii nzuri na easy kutumia) Vidmate... Kwa websites kuna wadau huko juu wamesuggest..
 
Hivi Wakuu inawezekana ku download videos kwenye Android smart tv?
 
Sasa YouTube Music yanini man wakati miziki unapata kirahisi tu huko YouTube... Tumia Telegram bots, SnapTube (Hii nzuri na easy kutumia) Vidmate... Kwa websites kuna wadau huko juu wamesuggest..
Mkuu hii App sio kama nimeidownload bali ipo kwenye simu na haitoki. Mbona nimesema juu huko kuwa ni installed App?
 
Noamba kuuliza,nataka nidownload video kwenye desktop kisha nikaangalie kwenye tv yangu nyumbani je ni app gani nzuri
 
Back
Top Bottom