Msaada. natafuta jina zuri la kike

Msaada. natafuta jina zuri la kike

Angalia utapewa majina ya mapepo aka majini.Kwani tayari nimeanza kuyaona mf Sasha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wewe sasa haya chukua jina hili nsakwisa, afyaitolo, mwikemo, mbwelu, atupakisye, atughanile, nkulugwangu, ulumu , Mamndenyi, na ya kiinglishi ni @sciscor, happier, quote, unique, e@Passion Lady, lady gaga, eti nimekosea hapo kaka Bujibuji
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
 
Last edited by a moderator:

SIRI, SIFA, Hamna, pendo, ni majina ya kiswahili.
 
wewe sasa haya chukua jina hili nsakwisa, afyaitolo, mwikemo, mbwelu, atupakisye, atughanile, nkulugwangu, ulumu , Mamndenyi, na ya kiinglishi ni @sciscor, happier, quote, unique, e@Passion Lady, lady gaga, eti nimekosea hapo kaka Bujibuji
ladyfurahia, kuna watu wa ajabu kweli. Hivi anataka jina zuri kwa aspects zipi?
Jina zuri la mpinga Kristo haliwezi kuwa sawa na jina zuri la Mwana Kondoo,
Jina zuri la kipagani haliwezi kuwa na uzuri na utukufu wa Mungu.
Mungu wangu wa Israel hawezi kuwa sawa na miungu mingine
 
Last edited by a moderator:
hebu mwelimishe huyo maana mm nashangaa umfyatue mtoto duniani hukose jina kwenye vitabu vya dini ambavyo ndo sehemu sahihi ya majina mazuri humo uliona wapi jf hapa watu wanaotoa majina? ndo mana nimemuorodheshea hapo achague hebu mpe darasa huyo nkamu?
ladyfurahia, kuna watu wa ajabu kweli. Hivi anataka jina zuri kwa aspects zipi?
Jina zuri la mpinga Kristo haliwezi kuwa sawa na jina zuri la Mwana Kondoo,
Jina zuri la kipagani haliwezi kuwa na uzuri na utukufu wa Mungu.
Mungu wangu wa Israel hawezi kuwa sawa na miungu mingine
 
...majina ya mabinti wa obama...mazuri na mabinti wenyewe ni wazuri
 
Back
Top Bottom