Msaada. natafuta jina zuri la kike

Msaada. natafuta jina zuri la kike

wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
nanginyii, lengete,naibwe,thethiaa,
 
mke wangu nami mjamzito mungu akinijalia wa kiume namwita Dominick wa kike Abigail natamani wa kike.
 
mama yako anaitwa hivyo.kama huwezi kumsaidia jina si ukae kimya



Usitokwe na povu kijana, Mama yangu ana jina lake tayari hilo changudoa ni jina ambalo nimelipendekeza kwa aliyeomba msaada wa jina kwani wewe una shida gani au unataka na wewe nikupendekezee jina?
 
Back
Top Bottom