Msaada. natafuta jina zuri la kike

Msaada. natafuta jina zuri la kike

binafsi ningekushauri utafute jina la binti yako wewe mwenyewe...

Wakati mwingine si vyema kuwashirikisha watu kila jambo hata kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo...

Ulimwengu huu umejaa mauzauza, wapo watu wabaya ambao hufanya kazi zao katika hali isiyoelezeka kirahisi...hawakawii kufanya manuizo juu ya jina ataloliandika hapa nawe kuvutiwa nalo...

Huu ni ushauri tu wa kiimani nimejaribu kukugusia, sio lazima sana uufuate kama kwako hutaona una umuhimu...

cjakosea kukuchagua kuwa kaka.. Ushauri wako ni mzuri na wa kipekee mno.. Stay blessed bro....
 
majina ya kizungu ni ya kikoloni.....wakoloni walishindwa kutuita majina yetu ya asili wakaamua kutubatiza ya kwao....tafuta jina zuri la kibantu mpe mtoto!! Hongera sana
 
Umefurahi kupatanmtoto?? Basi muite Joy ( furaha iliyopitiliza)
 
Bt u may be younger than I am.. Nipm ur age if u don't mind my kaka... Othetwise nyie watu hapo am not coating him.. Ok...

Hahaha jina "kaka" waweza muita mtu yoyote awe mkubwa kukuzidi au mdogo...ndio maana wenzetu wanatumia "younger brother" au "eldest brother"...
 
Back
Top Bottom