wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
Mkuu muite Ivy, it is a unique and nice name
Muite Amanda au Dorah, binafsi napenda majina ya Daniella au Abygail pia Alberta or Roberta.
Hongera kwa kupata baby girl.
Muite jini kabula
Mwigulu, Nape