Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,357
- 108,493
Msalimie sana huyo uncle wangu lol...
Waaaow!! that is the name of my daughter Daniella.

Hongera MwenyEzzi Mungu amkuze na malezi yako mema ya wajibike.ubaguzi upi mkuu.mandela ni mwanaume mm nataka la kike nimpe my baby garl
Msalimie sana huyo uncle wangu lol...
Ntamsalimia tatizo maswali ana maswali mengi like mama huyo ndo uncle yupi tena mbele ya watu wote na hubby akiwepo.
Waaaow!! that is the name of my daughter Daniella.
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
Fernanda, Alexandra, Lorena, Lorraine, Catherine na mengine mengi tu. hongera sana.
ahante sana mkuu
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
Hahahah...mwambie wa kazini, kanisani or elsewhere suitable...lol!!
Halafu nilisahau...zawadi yangu kwake hiyo...
![]()
mwajuma,chausiku,mwanadawa,mwanakombo,fatuma.
Umejuaje? she likea teddy bear daah!! I wish ningejua inauzwa wapi nimpelekee angefurahi sana, thanks mwaya.
Wasalimie wa kwako pia.
Muite HAPPINESS:tea::cheer2::A S-baby: