Sis naona unavutia kwako...:becky:
Naona hajiamini kama anaweza kuchagua jina zuri ndio nikaamua nijifagilie la kwangu!
Mambo vipi? mzima lakini? salamu kwa familia.
mwite princess
Hapo kwenye bold ni jina la kidini yeye amesema hataki ya kidini.
Mleta mada vipi kuhusu haya majina ya kibantu:-
Mwadawa
Mkiwa
Jalala
Havintishi
Nyamayao (siyo huyu wa JF)
mwanayumba
Mwite TARAJI kwasababu unamtarajia kuwasili wakati wowote. au latisha maana yake Great Joy; Shandi- Mungu ni mwemawakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
Mwite TARAJI kwasababu unamtarajia kuwasili wakati wowote. au latisha maana yake Great Joy; Shandi- Mungu ni mwema
Mwite,jna La CHAUPELE
Zaquisher!
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
Zaquisher!
catalia, nataliahwakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
Chausiku, sikujua, sikufahamishwa, sikudunga, sijaona.