Mwigulu, Nape
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
what about Gracious

Karibu na Mungu akubarikiyap gracious gaston gwanco.haya yatakuwa majina yake.gracious mtoto.gaston baba(mimi).gwanco ukoo. umenipa jina mkuu thanx wote humu jf
Ulizaa bila maandalizi mkuu? Umemuuliza mama wa mtoto? Mama au Baba mwenye busara huaanda jina la mtoto hata kabla ya kuzaliwa. Wewe wa wapi mkuu?
Karibu na Mungu akubariki
what about Gracious
Ngw'ashi,Tuma,Nsiya,Ngolo.Lupe, felipe,etc