CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Ni kifupi cha YVETTE....Nice name for me
Binafsi ningekushauri utafute jina la binti yako wewe mwenyewe...
Wakati mwingine si vyema kuwashirikisha watu kila jambo hata kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo...
Ulimwengu huu umejaa mauzauza, wapo watu wabaya ambao hufanya kazi zao katika hali isiyoelezeka kirahisi...hawakawii kufanya manuizo juu ya jina ataloliandika hapa nawe kuvutiwa nalo...
Huu ni ushauri tu wa kiimani nimejaribu kukugusia, sio lazima sana uufuate kama kwako hutaona una umuhimu...
mwajuma,chausiku,mwanadawa,mwanakombo,fatuma.
Armani; meaning faith
Watu8,Mauzauza kama hayo yapo (sio siku zote yanatokea) japokua kuna baadhi ya watu kwa kufuata dini za wakoloni ambazo nazo zimeeleza kua hilo jambo lipo wanajifanya hawajui...Kila la kheri katika kutafuta jina na mwanao
kweli zuri ila linaanza na herufi za mwisho litasumbua shulen
Muite jini kabula
Muite Amanda au Dorah, binafsi napenda majina ya Daniella au Abygail pia Alberta or Roberta.
Hongera kwa kupata baby girl.
Unaonekana mbaguzi!! lakini chukuwa hili " Mandela "
Armani; meaning faith
mpatie Shanery
Hahah...binafsi napenda sana majina haya Daniella, Danielle, Isabella, Isabelle, Isabel