Msaada. natafuta jina zuri la kike

Msaada. natafuta jina zuri la kike

serena, mm nalipenda sana hili jina na ninaona ni zuri mno, jui labda kwa vile napenda michezo. mpe hili utaona matunda yake.
 
Majina yote humu MMU hujaona lilizo zuri?

Mfano; Madame B, Lara, Evelyn Salt, Amu, KASHOROBANA, Kiete, n.k.
 
Last edited by a moderator:
ateketee mtoa jina, we umeshawahi kusikia mtu anaitwa changudoa? its unfair real!

We unaishi wapi, mbona kuna mademu wengi tu wanaitwa hayo majina. Kwani lina ubaya gani, si sawa na Pili au Mwajuma, au?
 
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx

muite WAMA bint BIBI WA MSIMBATI
 
nilitarajia dume nimuite lincoln,na sikutaka ya utra sound

Huwa tunaandaa kwa pande mbili, kwa dume na kike. Tena unakuwa umeyapanga kulingana na vipaumbele vyako
eg. Tony, Tomy, Terry, Jerry kwa me
Sarah, Esther, Mary, Jane kwa ke

Unipata bwana mkubwa?
 
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
muite lile jina la mjukuu wa mandela (mandla) au muite Mvenzo au Qunu
 
wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
FAITH ni jina zuri maaana kuna mtoto anaitwa faith mzuri mweupe amejazia ana sura nzuri sana huyo dada
 
Sio kila jina huku duniani nijina linalofaa kuwapa watoto. In case you did not know every name has its spiritual significance depending on the name given to the baby. You can bless the baby or curse the baby by the name you give it to him/her. Refer to the bible and you will confirm what i am saying. Jacob had to be changed his name and named Israel simply because the name Jacob did not carry his blessing. Follow up and you will understand pretty much clearer.
Need you say more.
 
Back
Top Bottom