goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]Boko haram? rudisheni kwanza wale 200 wa chibok.
Hatuwarudishi
Tuna mpango wa kuja tz kuwateka
[emoji4] [emoji95] [emoji379]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]Boko haram? rudisheni kwanza wale 200 wa chibok.
hahahahaha very funnymkuu hawa ndo wale wanaomiliki nyoka kama yule wa Songea halafu wakipigwa wanatapatapa na kutoa mikojo
Weka na Mobile Phone Number wengine tutakuchangia kupitia simu si unajua mambo ya benki, wengine hata ule mwanya wakuchomoza pua kutoka ofisini hatuna. Mimi nitackuchangia najua Uchungu wa kuwa Single mom! Naahidi nitakuchangia mara nitakopopata namba yako na ni Grant sio Mkopo.Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
jamani hebu mama funguka ni kweli umesema unasomesha binti halafu jina la kike hebu fafanua jamani. Ili wenye dhamira wakuchangie!Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?
Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
Weka na Mobile Phone Number wengine tutakuchangia kupitia simu si unajua mambo ya benki, wengine hata ule mwanya wakuchomoza pua kutoka ofisini hatuna. Mimi nitackuchangia najua Uchungu wa kuwa Single mom! Naahidi nitakuchangia mara nitakopopata namba yako na ni Grant sio Mkopo.
mbona namba kaweka mara nyingi tu?,hebu tuliza akili uupitie upya uzi huuWeka na Mobile Phone Number wengine tutakuchangia kupitia simu si unajua mambo ya benki, wengine hata ule mwanya wakuchomoza pua kutoka ofisini hatuna. Mimi nitackuchangia najua Uchungu wa kuwa Single mom! Naahidi nitakuchangia mara nitakopopata namba yako na ni Grant sio Mkopo.
Umemueleza vizuri sana Dr. Wa kutoa msaada wako wengi wanachohitaji tu ni uhakika wa huo msaada wenyewe uende kwa dhumuli lililotajwa!Fanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
Ukiona hvyo uwezo hanautanisamehe kwa hili swali ila ni muhimu kidogo... hujazungumzia kama umeolewa au vp na huyo binti baba yake yupo wapi au ameshafariki ili tupate picha halisi...
Unapohitaji msaada ni vema ukawa mpole. Watu wameonyesha nia ya kumsaidia binti yako hivuo wakitaka taarifa utoe bila kinyingo hata ikibidi kurudia mara kumi. Unajua mtu anaweza akawa ameona mwanzoni na hana muda wa kupitia taarifa nyingne kwa sababu ya muda hivyo ni vema ukawa mpole.Nitakuwa sina maelezo zaidi ya hapo zaidi sana atakae kuwa na nia ya kunisaidia atanipigia simu kwa Maelezo ya ziada kwani namba nilishaiweka na mm siyo tapeli kama navyofikiriwa ila naheshimu mawazo ya kila Mmoja na ushauri niliopewa kuna walionielewa na wasionielewa niwashukuru tu wote haya ni mapito ambayo yanaweza yakampata mtu yeyote yule, email ya shule ni paducahschool@hotmail.com au paducahnshool@yahoo.com namba ya headmaster 0718 518127 hivyo ni namba ya mkuu wa shule naomba tuwe wastaarabu wakati wa kumuoji ili tumtunzie heshima take shida yangu mm isiwe kero kwake anayejisikia kunichana, kunisema kunikashifu namba yangu inajulikana ni bora aniseme Mimi lakin asihusishwe head master nitakuwa sijamtendea haki nimeliongea hilo kwasababu ktk jamii kuna watu wa kula tabia, asanteni kwa muda wenu.
Unajua wengine hawana muda wa kupitia taarifa zoooote za humu. Namshukuru mchangiaji mmoja kairudia ndio n imeiona! Anatakiwa aonyeshe ushirikiano.mbona namba kaweka mara nyingi tu?,hebu tuliza akili uupitie upya uzi huu
KajichanganyaSasa kwenye shule yenye kidato cha tano na sita huyo wa kidato cha tatu anaenda kufanya nini??
Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?
Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
tumsaidie jamani ukimchunguza sana bata huwezi kumla, yani naswali mengi mpaka Uzi unepoteza shoo