Nenda veta na pikipiki yako utafundishwa. Upo mkoa ganiNimepiga simu chuo kimoja cha VETA wakasema hawana mafunzo hayo, ndio maana nikaja kuuliza humu wataalamu wanaofahamu.
Nenda Igunga stand chuo kipo paleNa anayejua wanapotoa mafunzo ya udereva baiskeli anisaidie.
Nenda Kyela,Ifakara,Tanga Mjini, Tabora na Shinyanga utapata Mpaka leseni C kavu ya kupakia abiriaNa anayejua wanapotoa mafunzo ya udereva baiskeli anisaidie.
Vijitu vya kwenye taasisi za serikali huwa vinamajibu ya kipumbavu sana aiseee. Sasa mtu anauliza jambo muhimu kama hilo baada vitoe msaada wa kutoa mafunzo vinajibu kifupi tu kuwa hatuna hiyo huduma pita hivi.Nimepiga simu chuo kimoja cha VETA wakasema hawana mafunzo hayo, ndio maana nikaja kuuliza humu wataalamu wanaofahamu.
Nenda New Samora driving school kama upo Dsm nilionaga wana fundisha watu jinsi ya kuendesha Boda bodaNimepiga simu chuo kimoja cha VETA wakasema hawana mafunzo hayo, ndio maana nikaja kuuliza humu wataalamu wanaofahamu.
Sasa kiongozi ukijifunza kijiweni ukienda kufuatilia leseni nasikia wanataka cheti cha mafunzo, hapo sasa ndio kasheshe inapoanza.Nenda kijiwe na bodaboda karibu yako, elewana nae yeyote awe anakufundisha. Ndani ya siku 2 tu utakuwa mbobevu hadi unakatisha na red light bila wasiwasi.
Akiwa anakufundisha wewe kazania pia na matumizi ya indiketa na side mirror maana wenzako wengi huwa hawatilii mkazo kuzitumia.