udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa Mafunzo ya Udereva, Dar es Salaam

    Leo , nimewaletea fursa hii adimu na inayoweza badilisha maisha ya kijana yeyote. Kwa vijana ambao mpo chuo , ambao mmemaliza chuo, na ambao mna ndoto za kuja kuwa madereva bora wa Leo na kesho. Udereva ndo fani Pekee ambayo inawapa vijana fursa endelevu. Hivyo, sisi kama , Essence Driving...
  2. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva Bolt

    Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na vitambulisho na passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0611 947177 Ahsanteni.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva

    VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Haya Mafunzo ya udereva kwa wiki mbili yanaukweli?

    Kuna Haya mafunzo ya udereva kwa wale ambao ni wamiliki wa leseni kwa muda wa wiki mbili?? Je vyeti ambavyo vinatolewa vinatambulika na serikali?? Je vyeti hivyo vinaweza kutumika kama sehemu ya Fani?? Au ni sehemu ya upigaji tu na ujanja ujanja?? Naomba ambaye anajua anipe maelezo!! Au...
  5. Chaz Joe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari ! Natafuta kazi ya udereva wa magari ya abiria, taasisi au hata ya binafsi. Nina umri wa miaka 27 vyeti halali na leseni daraja D, C1, C2 na C3. Nina uzoefu wa miaka 3 katika udereva (NOAH + HIACE) Napatikana Morogoro, ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote ile. Kwa yeyote mwenye...
  6. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Shida ni Pikipiki au Udereva?

    Wasalaam. Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki. Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kama TIN number Yako inadaiwa inaweza kukuzuia kurenew Leseni ya Udereva?

    Wakuu habari. TIN number Yangu inadaiwa 2m deni la biashara na chombo Cha moto. Sasa Leseni Yangu inaenda kuexpire mwezi ujao tarehe Moja. Swàli langu je madeni Yangu yanaweza kuwa kikwazo Cha mimi kushindwa kurenew Lesen. Je Tax clearence certificate inahitajika?? Naomba muongozo Ahsante
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utapeli Kozi za Udereva ujenzi- ICoT Morogoro

    Chuo cha ujenzi- ICoT chini ya wizazra ya ujenzi mkoani morogoro kinachotoa coz ya udereva kimekuwa kikiendesha coz hiyo kwa utapeli na kinyume na utaratibu. Wapo wanafunzi wa mwez wa 11, 12 , 2025 na mwez wa 1, 2026 ambao wengine wamekamilisha masomo( week 5) bila kufanyiwa mitihni na ivyo...
  9. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kati ya udereva wa mjini na masafa marefu upi ni mgumu.

    Tuseme dereva A anaendesha coaster transmission manual ambayo ni daladala route ni Mbezi to Mnazi Mmoja dereva B anaendesha Special hire gari ni Ile Ile kakodiwa kuwapeleka abiria Arusha kwenye Send off. Nani ana kibarua kizito.
  10. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Habari Wana Jukwaa Samahani Naomba Mawazo Yenu Mimi Ni Kijana Wa Miaka 30 Sasa Kiwango Changu Cha Elimu Ni Darasa La Tano Na Nina Cheti Cha Udereva Wa Awali Nimejitahidi Kutafuta Kazi Ya Taaluma Yangu Ya Udereva Kwa Ngazi Ya Daraja Langu Kwenye Taasisi Na Miradi Ila Nakosa Nafasi Kwakukosa...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Udereva Grade II 340 - Mwisho tar 4 April, 2026!

    Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
  12. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba connection ya Kazi ya udereva

    Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu. Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva. Mimi ni professional Driver. Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Wakuu salam, Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria. Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo. Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati… baada ya yote, niseme shida yengu nini? Ikiwa kuna nafasi yoyote ya udereva, PSV, shule, kampuni au...
  14. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Mtu anisaidie kupata Leseni ya Udereve nitamlipa

    Habari ndugu zangu. Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Leseni ya udereva ukifuata utaratibu itachukua wiki zaidi ya mbili kuipata lakini ukihonga waipata siku hiyohiyo

    Mimi ni mmoja wa wale watanzania ambao natumia sana leseni ya kimataifa ( international driving licence) pamoja na leseni ya nchi ninayoishi ambavyo huwa navyo mara zote. lakini nikiwa Tanzania huwa natumia leseni ya udereva ya Tanzania ambayo muda wake wa matumizi huwa ni miaka mitatu. Wakati...
  16. D

    JamiiForums Tanzania KAZI ZA UDEREVA

    MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 2) CIWAYE TRADING COMPANY Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani ya nchi. CIWAYE TRADING COMPANY Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, USOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anayeanza form one mpaka form four anatakiwa afundishwe sheria za barabarani na udereva wa magari mbalimbali

    Mwanafunzi anapoanza form one anatakiwa ajifunze udereva na sheria za barabarani ni ajabu udereva haufundishwi mashuleni Kuanzia form one mpaka four Mwanafunzi anatakiwa asomee udereva wa Magari madogo Magari makubwa Fork-lift Grader Telescopic handler Magari yanatotumika kwenye kilimo...
  18. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Veta - Njiro Arusha kinatuzungusha tuliosoma Kozi ya Udereva, hawapeleki matokeo yetu kwa TRAFFIC.

    Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC. Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
  19. FRJ255

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kupata uzoefu barabarani

    Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo nipa. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  20. C

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
Back
Top Bottom