GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Wametuuza sana hawa watu.Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
Mkuu! Hii ni very technicalSio simba tu, hata yanga wanatakiwa wautumie huo uwanja kwa masindano ya kimataifa.
Sababu ni kua una uwezo wa kujaza mashabiki wengi wa kila eneo la nchi hivyo kuongeza hamasa kwa wachezaji.
Pia itasaidia kuongeza mapato maana hizi ndio giant clubs kwa hii nchi na zina mashabiki wengi.
Michezo kuipeleka Znz unakua haujawatendea haki mashabiki wa bara ambao ni wengi. Rule of majority!
Hili swala mtu akiliangalia kishabiki hawezi elewa!Mkuu! Hii ni very technical
uwanja unafaa? i mean pitchSio simba tu, hata yanga wanatakiwa wautumie huo uwanja kwa masindano ya kimataifa.
Sababu ni kua una uwezo wa kujaza mashabiki wengi wa kila eneo la nchi hivyo kuongeza hamasa kwa wachezaji.
Pia itasaidia kuongeza mapato maana hizi ndio giant clubs kwa hii nchi na zina mashabiki wengi.
Michezo kuipeleka Znz unakua haujawatendea haki mashabiki wa bara ambao ni wengi. Rule of majority!
Simba SC inamiliki Uwanja? Mkapa Stadium ni Uwanja wa Simba SC? Tokea lini? Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau kwa kuwa MASIKINI NA MNA UDUMAVU WA AKILI mnachukia wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi.Kwasababu ndio uwanja wao wa Nyumbani.
Hatutafungwa tenaMilio n mingi kwa wanasimba ila watambue kipigo hakikwepeki
😃😃😃🙌 Sijui kwanini viongozi wetu walishindwa ku act professionallyHawana sababu za msingi zaidi ya kuwazuga mbumbumbu.Wangekua na sababu za maana wangejitahidi uwanja ukamilike toka muda mrefu kwasababu haya mashindano hayajaibuka ghafla kama jipu.Sasa walipokua wanalazimisha mechi itakua kwa mkapa wakati wanajua uwanja mmbovu walikua wanadhani kutakua na miujizaa gani ili Caf waukubali.Bongo bahati mbaya.
Nimegundua wewe una matatizo ila hujijui,hivi mtu akisema" Kwa sababu ndiyo UWANJA wao wa nyumba" ki soka anakuwa anamaanisha umiliki? Hao bercane ule uwanja waliochezea ni uwanjani wa nyumba je wanaumiliki?Simba SC inamiliki Uwanja? Mkapa Stadium ni Uwanja wa Simba SC? Tokea lini? Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau kwa kuwa MASIKINI NA MNA UDUMAVU WA AKILI mnachukia wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi.
Nahisi wangepata maokoto mengiTafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
POPOMA hajawahi kuwa na akili, yeye ni kukurupuka tuNimegundua wewe una matatizo ila hujijui,hivi mtu akisema" Kwa sababu ndiyo UWANJA wao wa nyumba" ki soka anakuwa anamaanisha umiliki? Hao bercane ule uwanja waliochezea ni uwanjani wa nyumba je wanaumiliki?