Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

The surrogate mother imetajwa? Iko powa sana utalia lakini pia Neria toka Zimbabwe safi sana
 
Teri meherbaniyan (1985), muv ya kihindi sitakaa niirudie tena kuiangalia maana nikiifikiria tu mchozi unanlenga lenga....actors jackie shroff, amrish puri et al, pia kuna muvi iitwayo hatya nayo wamo
 
A walk to remember,gladiator,Brave Heart, but im not that soft hearted to cry in movies.
 
The first Grader.. Ni movie ya Kenya about the old man aliyeanza class one na uzee wake baada ya kukosa nafasi hiyo utotoni
 
Kuna Move moja ya Escape Trick- jamaa wafungwa walikuwa wakichimba shimo ndani ya Gereza na vifusi vinatolewa nje kwa kutumia mifuko ya Surual zao, jamaa walikuja wakakosea mahesabu ya linapo takiwa kuibukia,Waliuwawa sana
Inafanana kwa kiasi na Escape from Sabibo.

Na kuna ile ya Troy inahusu wafalume nayo ni balaa

Aise mambo vp mkuu?!
Hiyo movie ya wafungwa wanatoroka kwa kuweka mchanga mfukoni nmeipenda sana. Naweza kuipata vp?
Kama unalink ambayo naweza kuidownload please naomba uniwekee ntashukuru.
Na hilo jina "Escape trick" ni jina la movie?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom