Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

allegation, nigeria movies , hii ni nzuri kwa sisi watanzania tunao hangaika na maisha ya kazi , usomi plus ndugu ambao wana mategemeo na ndugu yao , it is a very touching stories me and my childrens tulikuwa tupo hoi kwa simanzi mpaka mtoto wangu wa miaka 10 jina la actor hajalisahau . na kwa ushauri tu ni vyema kuwaonyesha watoto sinema ambazo zitawabadilisha kiuelewa
 
Ya wema sepetu,
ray na woper. imentoa machoz ya damu
 
Andhaa kanoon. Pale mtoto wa amitabh alipokua anamuimbia Baba yake jela. Na pale amitabh alipoenda kwenye mazishi ya familia yake.
 
Wakuu kuna vimeo vingine vya juz juz havitoi machozi lakini vina tetemesha nafsi,vitafteni...
1.captain phillips
2.lone survivor
3.mike tyson-undisputed truth
4.i spit on your own grave1(ila si ile ya mwaka 70's) na 2 kidogo
5.a frozen flower(chines)
6.cash-sina uhakika na jina ila jamaa anaokota pesa za majambaz walio iba benki flani afu wanakimbizwa na polisi wanaamua kutupa begi la pesa chini ya daraja.
 
Andhaa Kanoon ya Amitha Batchan na Ema Malini(indian movie) na Suicide Mission (Nigerian Movie)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom