Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

kwenye list ongeza na a boy in a stripped pajama, the stoning of thoraya
 
[TABLE="class: infobox vevent, width: 22"]
[TR]
[TH="class: summary, colspan: 2, align: center"]A Time to Kill[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
Theatrical release poster
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Directed by[/TH]
[TD]Joel Schumacher[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Produced by[/TH]
[TD]Arnon Milchan
John Grisham
Michael Nathanson
Hunt Lowry[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Screenplay by[/TH]
[TD]Akiva Goldsman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Based on[/TH]
[TD]A Time to Kill
by John Grisham[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Starring[/TH]
[TD]Matthew McConaughey
Samuel L. Jackson
Sandra Bullock
Kevin Spacey
Ashley Judd
Donald Sutherland
Oliver Platt
Kiefer Sutherland
Charles S. Dutton
Chris Cooper
Patrick McGoohan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Music by[/TH]
[TD]Elliot Goldenthal[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Cinematography[/TH]
[TD]Peter Menzies Jr.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Editing by[/TH]
[TD]William Steinkamp[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Studio[/TH]
[TD]Regency Enterprises[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Distributed by[/TH]
[TD]Warner Bros.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Release date(s)[/TH]
[TD]
  • July 24, 1996 (1996-07-24)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Running time[/TH]
[TD]149 minutes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Country[/TH]
[TD]United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Language[/TH]
[TD]English[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Budget[/TH]
[TD]$40 million (est) [SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Box office[/TH]
[TD]$152,266,007[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hii ilitaka kuniulia mama yangu,wakati akiendelea kuiangalia mara chali!! Presha juu,mbio hospital hajitambui,baada ya hapo hataki kuangalia hata taarifa ya habari.

hii movie iliua watu si chini ya 152 (ile movie ya kwanza original iliyokuwa inaonyeshwa kwenye theater kabla haijaingizwa uraiani.Israel waliipiga marufuku wakidai wamezidisha chumvi na wanatafuta kudhalilisha taifa lao. ikabidi irudiwe tena ili kuppozwa ndo ikaingizwa uraiani. ila wataalamu wa mambo ya kale wanasema hiyo movie ya kwanza kidogo ndo ilikua walau kwa mbali inakaribia kufikia reality ya kitu gani BWANA Yesu alifanyiwa. kwa hiyo hii tunayoangalia ni kwamba imeshachakachuliwa ili kupunguza mabalaa ingawa bado yalikuwa yanatokea
 
Escape from sobibo vry touching muvi..
Suiside mission ya kinijeria.
Bloodsisters frm nigeria.
Hotel Rwandaa.
Shakazulu.
Not without my daughter.
Yayaa ya kihindi hii ckumbuki jina vzr ile imechezwa na mtt ameact kama bubu so emotional
 
Mi nyingi tu, kulia kulia kwenda mbele.

Ila ukitaka movie touching sana basi angalia za kihindi.
 
BigUp nyote mlochangia Uzi huu naamini kila 1 wetu amepata kitu kwenye Jukwaa hili la BURUDANI kwa upande wangu iliyonigusa ni Film yakiNIGERIA inaitwa THE PRICE kipindi hicho ndo Movie zakinigeria ndo zinaingia! Kiukweli niliumia sana Hasa pale PASTOR KENY anaposusiwa Mtt wakucngiziwa KANISA linamfukuza nakumtoa kwenye NYUMBA na MKEWE Uzalendo ukamshinda kamkimbia duuuh!!!......... Kwa yeyote mwenye Link ya MOVIE zakiNIGERIA plz atupie hapa wandg
 
special forces. . . Yumo yule niga wa blood diamond kuna muda nilitokwa na machozi aisee
Movie moja ya Denzel washington mwanae anapata matatizo ya moyo na baba hana mpunga wa operesheni mpaka anateka hosp kulazimisha mwanae ahudumiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom