Blood Diamond and John Q!!Couldnt stop them tears...Hio blood diamond ndo nilikuwa cinema theater kabisa!!!
Nilihuzunika sana nilipoangalia John Q nchi kubwa kama marekani ina welfare system mbovu yaani kama huna health insuarance YOU ARE A DEAD PERSON its sad :disapointed::disapointed:
kuna movie ya kihindi inahusu jamaa mmoja akiw na rafik zake, jamaa anampend demu wa kishua...bt demu alikuw anamringia, ilifikia jamaa alivua nguo barabaran baada ya kudanganyw na rafik wa yule demu kuw akitak kumpata rafik yake avue hadharan...mwishow jamaa anakuw mwanamzik mkubwa na kuunda crew na demu... Tatizo jina lake nixaidien wana jamvi..
Mie nililia wakati wa mechi ya football kati ya Ghana na Uruguay...2010 South Africa, mechi ya robo fainali. Baada ya Asamoah Gyan Kukosa Peneti. Yale hayakuwa maigizo..ni kitu halisi... Movie huwa nacheka tu.
Ila 3D siku moja ilitaka kunikimbiza pale movie theater Mliman City...kuna arrow ilikuwa inakuja nikadhani itanipasua utosi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.