Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda

My sisters keeper(my sadiest movie ever)

John Q
(a poorest man struggle to help his son, inauma)

Note book
(touching love story)

The Boy in the Striped Pajamas

Hachiko: A dog's story
(must watch this, so sad)

My sassy girl
(korean film, a must see)

Good Dees
(sijui kwanini machozi yalinilenga kila mara kwa mapitio aliyopitia Lindsey)

Ps I Love You
(hakikisha una kitambaa pembeni)

The Perfect storm

Armaggedon

A Walk to Remember
(a very touching movie)

Alive(Never cried but feel so sad)

Titanic(mara ya kwanza kuoina niliwaga chozi mwishoni jack alipokufa, hate that ending)


je nimovies gani ukiangalia inakusikisha sana kama sio kukumwaga machozi so I can find and watch,
I love sad movies

mother india. pata yenye English subtitles lazima ulie hasa mama anapoamua kuvaa plau la ng'ombe akiwa kama ng'ombe huku wanae wawili wa kiume kati ya 7&10 wakiwa wanasukuma lile plau na dhuluma wanazopitia.
 
Aagh ka gola ya kihindi star Sun deo
Sholay ya kihindi pia
bila kusahau andha kanoon
 
Kal ho nao muvi ya kihind star sharkhan nlilia asee na nyengine the passion hii ni ya Yesu dah nlilia kama toto dogo
 
Mi.
Series ya Spartacus champion of Capua. ikivyoisha iliniumiza japo sijalia
 
Cry for my beloved country hii movie story yke inauzunisha sana. Niya South Africa sarafina ndani
 
Back
Top Bottom