Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Movie iliyowahi kukutoa machozi....

dah!!, appreciate it,
- Black hawk is down hasa ile soundtrack ya mwisho, nimeitafuta hadi nimeipata
- The notebook
-Saving private ryan, doh!!, iliniumiza sana
 
Neria bana ImageUploadedByJamiiForums1373800628.944514.jpg ImageUploadedByJamiiForums1373800628.944514.jpg
 
Remember your mother.Nigerians

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Natafuta title ya movie ya starring "komando kipensi" kwa wale wanaojua naongelea movie gani.
 
dah!!, appreciate it,
- Black hawk is down hasa ile soundtrack ya mwisho, nimeitafuta hadi nimeipata
- The notebook
-Saving private ryan, doh!!, iliniumiza sana

kiongoz naomba sana hiyo soundtrack ya Black hawk Down
 
Janivalee indian one.....so touching 2.Iris 3.Letter from momy
 
Deadly prey kaka ndo jina lake

Ile ya Nigga alikamatwa na namba na wakamla mguu wake lkn akaua wapinzani kadhaa kabla yy hajafa;Inaitwaje ile?

Movie kama No retreat No surrender kwa Dar naweza ipata wapi?
 
Muvi gani seriously ulijikuta unatoa machozi (wakati unaiangalia au baada ya kuiangalia) kutokana na uhalisia wake kukugusa sana moyoni...achana na ile umeingalia ikakugusa na kuikubali tu kwa kuwa ni nzuri...NO..ILIYOKUTOA CHOZI!!
Sina uhakika kama hii topic ilishawahi jadiliwa humu maana nimejaribu ku search ila sijapata ninachokitaka..
Kwa upande wangu mimi ni hizi..

1. Marley and me
...hii nilivyoangalia mara ya kwanza baada tu ya kuisha nikaingia zangu chooni kujifungia ili nifute machozi maana tulikuwa tunaangalia watu wengi..kila mtu alinyanyuka kivyake ofcoz so sijui wengine kama nao walilia au la..

2. Pursuit Of Happiness
...nilijikuta tu machozi yanandondoka mwenyewe wakati muvi inaendelea..

3. Hatchiko the Dog Story
...inatia huruma sana hii..

4. Armeggedon
...ni SCI-FI movie ila pale mwisho chozi lilitoka kimtindo..

5. JOHN Q

6. Rango (Animation)
...hii machozi kwa kucheka...very touching ila inachekesha balaa..

7. Black Hawk Down

8. Blood Diamond

...hizi ni baadhi ya nnazozikumbuka harakaharaka...ningependa kuonza na nyingine zaidi ya hizi kwa msaada wenu..


hakuna movie inayotoa machozi hapo,,labda una matatizo bob.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom