Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,526
- 25,734
Stonning of Soraya.
Amistad nimeiangalia juzi, kwa kweli inasikitisha sana.Kaka kama unapenda movie za hivyo tafuta movie inaitwa Glory ni ya Denzel Washngton na Morgan Freeman coz sijaona katika list ya movie uloziweka hapo, inahusu Black america kuingizwa kwa mara ya kwanza katika jeshi la weupe miaka pia tafuta movie inaitwa Amistad hii amecheza Morgan freeman na jamaa jina simkumbuki ila amecheza katika Blood Diamond (yule black) zipo nyingi nitazichambua then nitakufowadia list ulizie vizuri kamanda.
Mkuu nimeangalia karibu robotatu ya movie ulizotaja baada ya kuingia chimbo na kuzipata
Nakushauri tafuta movie ya kikorea inaitwa A moment to remember
Kwa jinsi nilivyoona hizi unazozitaja basi nahakika hii itakutoa mchozi
By the way hatchko na a walk to remember zimenigusa sana
@paulss, ahsante kwa hizo movie....
Pia ukipata mda cheki "Time To Kill" ya Samuel Jackson.....
Ni story ya kipindi cha ubaguzi wa hali ya juu states, Sam na familiy yake walikuwa wanaishi mji mdogo, binti yake wa miaka 13 anabakwa hadi kupoteza uwezo wa kuzaa mbeleni na kuvugukiwa maumbile yake ya uzazi (Hii ni part inayoumiza sana katika movie hii)....
SJ atawaua wale vijana wa kizungu siku walipotoka mahakamani kupewa dhamana....
Baada ya hapo kesi itaanza kuunguruma.
Ni movie nzuri sana, ila nimeiona kitambo na ilinisikitisha sana japo sikulia ila niliumia mno.
Itafute Bro!
nitazipataje mkuu
Mkuu nipo chimbo naipakuwa, sema seeders wachache lakini itaisha tu taratibu
1:deadly voyage
2:tears of the sun
3:suicide mission(nigerian)
4:handha kanoon
5:hotel rwanda
6:this tym in april
NTAKAZOZITAJA HAPA KAMA HUJAZIONA PLZ TAFUTA
1:CRY FREE TOWN''documentary ya matukio halisi kipindi cha machafuko sierra leone''
2:BLOOD DIAMOND
3:THE LAST KING IF SCOTLAND
4:SOUL FOOD ''black american movie''