sioni hilo jijini unalosma hakuna kitu zaidi ya sifa tu binfsi sioni haiko tofauti na miji mingineUnachekesha mkuu š mwz ni jiji la pili Tanzania.
sioni hilo jijini unalosma hakuna kitu zaidi ya sifa tu binfsi sioni haiko tofauti na miji mingineUnachekesha mkuu š mwz ni jiji la pili Tanzania.
Wachaga umaarufu wao huku ni viduka vya pipi na sukari robo.Mimi nikuulizehuko kahama,geita, katoro wachaga hata hawajulikani wanafanya nini huko ni wasukuma na waha tu! Hata hapo mwanza wa wachaga sio wengi kama zamani hardware nyingi ni wasukuma na wakurya hata lumumba ni wasukuma watupu yaani nyinyi mna matatizo sana! Acheni sifa!
Morogoro imeshakishi vigezo anasubiliwa Rais tuuNi rahisi Moro town kuwa jiji kabla ya Moshi
Kulinganisha na wapi ambako sio kwa kishamba?Barabara ya maana ni hiyo kutoka uyole mpaka Mbalizi. Nani haijui Mbeya ? Huo mji wa kishamba sana
Tena serikali ingevunja baadhi ya majiji na kubaki na majiji mawili tu.Nchi hii ni ya ajabu sana. Madiwani ambao ni wawakilishi wa wananchi tulitegea wapambane wananchi wapate huduma bora za afya- bima ya afya kwa kila mtu, elimu bora, miundo mbinu mizuri ya barabara, wanainchi wafundishwe kilimo bora na kuongeza thamani ya mazao yao n.k. Badala ya madiwani kupambania hayo wapo wanataka miji yetu iwe majiji- Tanga ni jiji, Mbeya ni jiji, Dodoma ni Jiji, Arushani jiji, Mwanza ni jiji na of course Dar. Sasa ni nini kimebadilika kwa mji kama Tanga kuitwa jiji. Au, Dodoma au Mbeya. Maisha yanazidi kuwa duni tu, hadhi ya jiji haibadili maisha ya mtu. Ni afadhali tufikirie mbinu za kuwatoa wananchi wetu kwenye umaskini kuliko kupambania miji yetu iitwe majiji
Bila kusahau Kahama šš na Chato.Kilimanjaro msitegemee kubebwa kama Mwanza, Dodoma, Geita. Kama umeisikiliza hotuba ya Samia utajua kuwa mnaangaliwa kama watu mliopo mbele sana kimaendeleo na hasa pale aliposhangaa Kilimanjaro kulilia miundombinu ya maji ya umwagiliaji wakati mikoa mingine hawana maji ya kunywa.
Kulitokea nini?Mwenye Aliyeandaa hotuba ya chief Hangaya iliyosomwa huko Kilimanjaro Moshi Tanzania Ana matatizo au kuna shida mahali. Kama haina shida Chief Hangaya hakutambua Dr Kimei ni mbunge wa wapi na hiloJimbo liko upande gani. Pamoja na hilo Wakazi wengi wa Kilimanjaro waliosikiliza hotuba hiyo hawakuilewa mfano, Prof Adolf Mkenda, Prof Ndakidemi, Dr Charles Kimei, Dr Mathayo na wengine wengi. CCM jitafakirini kuhusu 2025 naona kama tunapotea
KUmbe ni wengi huwa hatuikibali Mwanza maana Mji ule ni pale mjini tuuWewe ni afadhali iwe dar na Arusha sio mwanza
Umbali kutoka Moshi hadi vunjo ni zaidi ya Kms 50 Sio 25Kulitokea nini?
Hta Mwanza haifai kuitwa jiji! Dra es salaam tu ndiyo inahadhi ya kuwa jiji.
Compare and contrast,watu wa Mwanza mnatumia nguvu Sana kutete Jiji uchwara lenu ..Hapana aisee nakataa...
Arusha bado Sana kwa mwanza Tena Sana.
Mwanza inapanuka mno na inakuwa kwa Kasi ya hali ya juu .
Hiyo Arusha ni sawa na manispaa ya ilemela tu kwa mwanza.
Mwanza kwa mzunguko wake ,ukuaji, movement,mapato na watu inafaa kabisa kuwa jiji tofauti na Arusha ambayo ni ndogo Mno.
Mwanza Rufiji and Nyerere roadView attachment 1975578View attachment 1975579
Utakufa kwa chuki zenu na unaoneka ata Mwanza huijui.KUmbe ni wengi huwa hatuikibali Mwanza maana Mji ule ni pale mjini tuu
Sasa hilo tuu? Hapo itakuwa ni kosa la muandishi kama alikuwa anasoma,ilitakiwa wahusishe Moshi Vijijini sio vunjo,nani kampotosha Rais?Umbali kutoka Moshi hadi vunjo ni zaidi ya Kms 50 Sio 25
Mbona hayo magorofa yana hesabika acha ushamba tembea uone.Compare and contrast,watu wa Mwanza mnatumia nguvu Sana kutete Jiji uchwara lenu ..
Arusha š
View attachment 1977255
View attachment 1977256
Wewe jua tuu hamna kitu huko ni uchuro wa umaskini ndio umejaa hapo mwanzaUtakufa kwa chuki zenu na unaoneka ata Mwanza huijui.
Kila mada ambayo haihusiani na Mwanza lazima uingize chuki zako, nilishakuambia miji yenu kutoa Dar inasafari ya miaka mingi sana kufika mahali Mwanza ilipo.Wewe jua tuu hamna kitu huko ni uchuro wa umaskini ndio umejaa hapo mwanza
Muwe sawa na Chato vipi?
Kama Mwanza ni maskini kwanini watu wanazidi kuingia Mwanza na kuufata huo uchuro na umaskini?, ukiona sehemu kuna watu wengi na wanazidi kuongeza ujue wanafata vitu ambavyo sehemu nyingine hakuna, pia wanafata tulizo la mioyo yao, ndio maana population density ndio figure kubwa kwenye uchumi.Wewe jua tuu hamna kitu huko ni uchuro wa umaskini ndio umejaa hapo mwanza