Moshi yakataliwa kuwa jiji

Moshi yakataliwa kuwa jiji

Mkuu moshi inastahili sema mama katuchoma tuwe sawa na chato
Moshi ni kijiji cha ujamaa wewe..mnadhani jiji ni mchezo? Ukienda pale Mwanza miji hii ni kama mikoa midogo, ukiwa Igoma,Buhongwa,Buswelu..maeneo hayo matatu ni sawa na mikoa midogo kwa kati kati ya mji kama pale Shinyanga au Tabora
 
Huo ndio ukweli mchungu

Kwenye majiji uneiweka Kigoma? Au nimesoma vibaya??[emoji28]
Nimeipendekeza iendelezwe hadi ifikie hadhi ya jiji ili kupunguza wimbi la wenyeji wa huko kukimbilia Dar , Mwanza na Zanzibar lakini wanapofanikiwa hawarejeshi uwekezaji huko kwa maendeleo yao na wananchi wengine.
 
Back
Top Bottom