Moshi yakataliwa kuwa jiji

Moshi yakataliwa kuwa jiji

Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa

My take kaamua kubalance na chato

Minne ina
Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa

My take kaamua kubalance na chato

Minne inatosha
Tatizo Moshi umefanywa kuwa ni mji wa kwenda kufanya ziara na kuwarudisha nyumbani sio mji wa kiuchumi hivyo ukuwaji wake sio endelevu kwa sasa hivyo Mapato ya ndani ya mlima Kilimanjaro n.k kwa wastani na idadi ya watu ni mdogo sana.
 
Tatizo la Moshi kutoendelea ni ukabila umetawala pale, wale jamaa huwa hawaachii ardhi kwa wawekezaji wageni (kabila tofauti na Chagga) pale Moshi town biashara nyingi ni za wenyeji. Wachaga badilikeni, kalibisheni wageni wachangamshe mji huo.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Try to speak sense. Ni mtu wa kabila gani amekuja na serious project akakataliwa ardhi? Na huko mikoa mingine Arusha, Dodoma etc, nani wamewekeza huko. Si hawa wachaga??
 
Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Tanga,Bandari ya Bahari,ni tosha kuwa Jiji,bila hata kuweka vigezo vingine.Bandari ya Tanga,inatumika kwa mikoa ya kaskazini na nje ya nchi,kwa mafuta na Bidhaa mbali mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miji ya Tanzania sio midogo sema miundombinu yake ni ya ovyo. Kwa mfano barabara tu miji mingi ni tatizo. Majengo pia ya ovyo sana
 
Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa

My take kaamua kubalance na chato

Minne inatosha
Kwani uamuzi wa manispaa kugeuzwa kuwa jiji ni wa Rais peke yake? Na hao wanaoomba hawajui kuwa kuna sifa na viwango vinavyotakiwa kufikiwa kabla ya kuwa jiji?

Amandla...
 
Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Unavijua vigezo vya manispaa kupanda na kuwa hadhi ya jiji au umesema kuwaunga mkono wanywa kahawa wenzako hapo ulipo.... !!!usitumie masaburi kufikiri Mkuu
 
Back
Top Bottom