Naona umepata mwenzako mmoja hadi umeshangaa kwamba mko wengi[emoji2][emoji2], siku zote ulikuwa peke yako leo umepata mwenzako,
Lakini wasioikubali mbeya ni wengi sana na wapo kila siku humu wala na haikushangazi ndo uhalisia wenyewe, wanafuata wasioikubali Arusha wapo sana na wala haijakushangaza[emoji2][emoji2], asiyeikubali Mwanza ulikuwa pekeyako leo umeshangaa kumbe uko na mwenzio[emoji2][emoji2], naona pia umelike mdau aliposema majiji Tanzania ni 1.Dar, 2.Mwanza, 3.Mbeya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 3.Mbeya [emoji1787][emoji1787]