Moshi yakataliwa kuwa jiji

Moshi yakataliwa kuwa jiji

Bila kusahau Kahama 😃😀 na Chato.
Hebu nitajie kahama imebebwa maeneo yapi? Kama nikupandishwa hadhi kuwa manispaa mchakato ulifanyika wakaguzi walikuja na waziri jafo aliulizwa bungeni na aliekuwa mbunnge wa msalala Ezekiel maige kwamba nilini ataupandisha hadhi mji wa kahama kuwa manispaa maana tayari umekudhi vigezo jafo alijibu swali kwa kusema kwamba kuna miji 3 imekidhi vigezo vya kuwa manispaa akataja geita kibaha na kahama wakati wowote wataipandisha bajeti itakaporuhusu
Bila kusahau Kahama 😃😀 na Chato.
Hivyo kahama mchakato wake ulikamilika wakakizi vigezo magufuli akawapandisha hadhi
 
Kweli kabisa mkuu,,, sema kwenye majengo kidogo wako nyuma.
Mbona majengo wanayo mazuri na marefu,yanetawanyika,kutokana na ukubwa wa jiji,hayako sehemu moja,kama miji mingine,kama Dar ni ndogo ukilinganisha na Tanga ni 26,677km2 na Dar ni wakati Dar ni 1,493 km2.Ndio ukaona majengo yote yamekusanyika mahali pamoja,halafu ilikuwa makao makuu ya nchi,ndio kukajengwa majengo mengi ya makao makuu.
 
Nimefurahi kuona ivyo mkuu.
 
Watanga bwana[emoji23]

Wazee wa donge, barabara 21, magomeni,mwakidila,raskazone,chumbageni,ngamiani,kange,mikanjuni nk.

Yaan Tanga pamedorora Sana panazidiwa na Moro
 
Mbona majengo wanayo mazuri na marefu,yanetawanyika,kutokana na ukubwa wa jiji,hayako sehemu moja,kama miji mingine,kama Dar ni ndogo ukilinganisha na Tanga ni 26,677km2 na Dar ni wakati Dar ni 1,493 km2.Ndio ukaona majengo yote yamekusanyika mahali pamoja,halafu ilikuwa makao makuu ya nchi,ndio kukajengwa majengo mengi ya makao makuu.
Unaposema jiji la tanga ni km za mraba zisizozidi 300 ambayo ndio wilaya ya tanga mjin i tanga vijijini na kwengine sio sehemu ya jiji la tanga wewe hizo km za mraba umetaja ni za mkoa mzima tofauti ya dar na tanga dar mkoa wote ni jiji
 
Ulevi na ulaji wao wa kitimoto ndio maana mji wao unaitwa; KA-moshi ??!!🤔
Jamani Moshi siyo mji wa kibiashara, ni purely a residential and holiday town! na hakuna shida ikawa hivyo. Kuwa jiji is nothing kwenye ku- improve living standards za watu. Kuwa jiji kama hakuleti viwanda, modern farming, agriculture value addition industries, service industries kama tourism, medical, haisaidii kuitwa jiji kwa jina tu. Waiache Moshi ilivyo, we are comfortable
 
Watu kiasi gani?
Kama kuna vigezo vya wazi mahali kuwa jiji kwa nini watu wana lobby na kubishana kuhusu eneo fulani kuwa jiji? Si hivyo vigezo viweke wazi ili watu wajue kama wanakidhi au la?
Kiasi inategemea nchi na nchi, kama Indonesia ina watu wengi sana eneo dogo lazima adi mji uwe city lazma vigezo vya idadi iwe tofaut na sehem kama sweden

City haihusiani na majengo wala mpango mji
Kwa city huanhaliwa
-population and population density
-social services
- muingiliano wa watu

Mahengo uzuri hayo ni yenu tu kwa kujitungia
Ndo maana Tanga ni pa kawaida ila ni city
 
Uaposema mji mdogo una maana gani? Yani ni kama uende Ilala kwa mara ya kwanza na kuzunguka posta mpya si utaona ilala ndogo? Moshi ni kubwa sema centre ndio bado padogo lakini mji kama mji ni mkubwa sana, na kila sehemu inaendelea kwa kasi sana.
 
Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Ww mwisho wako ni wapi? Ushazunguka kote? Au uliishia pale senta tu ukajua mji umeisha?
 
Back
Top Bottom