Na umaskini wote wa mwanza uleOnly Mwz na dar. Arusha kama waliihurumia tu
The only thing mwanza walipewa jiji ni wingi wao wa kuzaliana
But the only place panadeserve kuwa city ni dar na Arusha
Na umaskini wote wa mwanza uleOnly Mwz na dar. Arusha kama waliihurumia tu
Wewe umesema vyema 👊Arusha ipo vizuri zaidi kuliko Mwanza.
Acha ushabiki wa kichuga chuga hapa....Na umaskini wote wa mwanza ule
The only thing mwanza walipewa jiji ni wingi wao wa kuzaliana
But the only place panadeserve kuwa city ni dar na Arusha
Ni kweli mbeya hamna kitu pale nyumba sio standard!Hakuna kitu mbeya
Asilimia 95 ya mji ni uswazi ya vijumba Hadi za udongo
Mwanza watu hawaijui! Mwanza ndo sehemu pekee mitaa mingi ina nyumba kali! Hata hiyo njiro ya arusha kwa mwanza imapigwa gepu na mitaa mingi tu!Acha ushabiki wa kichuga chuga hapa....
Ukweli ndo huu mwanza iko mbali Sana kuliko Arusha
We naye Mwanza Jiji unapolizungumzia uelewe kuwa hujamlisha Ilemela Manspaa amvayo bdio size ya Mbeya. Sasa hiyo Mbeya yenye barabara moja tu ya maana unasema kwamba hilo ni jiji kweli kama siyo choko tu ?Acha Domokaya we simbilisi jike..Mbeya Jiji Lina wakaazi takribani 600,000 na Lina mapato wastani wa bil.15 kwa mwaka mbele ya Mwanza Jiji.
Tanga Jiji Lina mapato wastani wa bil.12 kwa mwaka na wakaazi wanaokadiriwa zaidi ya 450,000 ..
Sasa.wewe unataka miji iwe kama London ndio ujue ni Jiji au?
Moshi kuwa jiji ni afdahali Musoma au Kigoma na Njombe!Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa
My take kaamua kubalance na chato
Minne inatosha
Sure kabisaMwanza watu hawaijui! Mwanza ndo sehemu pekee mitaa mingi ina nyumba kali! Hata hiyo njiro ya arusha kwa mwanza imapigwa gepu na mitaa mingi tu!
Mimi nikuulizehuko kahama,geita, katoro wachaga hata hawajulikani wanafanya nini huko ni wasukuma na waha tu! Hata hapo mwanza wa wachaga sio wengi kama zamani hardware nyingi ni wasukuma na wakurya hata lumumba ni wasukuma watupu yaani nyinyi mna matatizo sana! Acheni sifa!Hawaendelei kivipi.? Leo hii unawafananisha wasukuma na wachaga 😂😂
Simple tuu ndo mana unaambiwa kama eneo ulipo hakuna wachaga hama hapo jangwani.
Ndugu yangu Tabora hakuna kitu, maeneo mengi ni mapori tu ! Leo uiondoe Igunga na Nzega, Tabora ibaki na nini sasa ? Hata huo mkoa mpya nao itakuwa ni shida tu ni kama Kuifanya Katavi iwe mkoa had leo ni mazingaombwe tu, wala hata haifanani.M ona husemi wilaya ya Chato inaidadi wa watu 365,127 Ina km za mraba 3,572 ,mnaipigania usiku na mchana kuwa mkoa, huku mkiiacha kuzigawanya Morogoro na Tabora zenye km za mraba zaidi ya 168,000 ?
Thubutu, inaonekani hujafika mwanza weyeNadhani jiji lingekuwa moja tu, Dar. Hata Mza haina hadhi hiyo, ukilinganisha na majiji ya ncgi nyingine.
Hakuna kitu Arusha migomba hadi mjini hapo sanawari. Jiji la Mwanza lina wilaya mbili Nyamagana na Ilemela. Hiyo Arusha yako ina wilaya ngapi za mjini ? Kumbuka muda wowote kuna wilaya ya tatu inatarajiwa kuzaliwa jijini Mwanza ambayo ni Kisesa. Leo unakuja na stori za Arusha hapa. Usiwe unalinganisha Mwanza na hicho kijiji mnachokiita ki arusha.Arusha ipo vizuri zaidi kuliko Mwanza.
Wanaishi kwa kukariri, hana habari kwamba hata Tai five hotel ya mchagga ilishanunuliwa na msukuma tena kwa mnada baada ya mangi kuishiwa. Huku kanda ya Ziwa wafanyabiashara wakubwa ni Wakurya, wasukuma na waha. Wachagga ni wachuuzi tu.Mimi nikuulizehuko kahama,geita, katoro wachaga hata hawajulikani wanafanya nini huko ni wasukuma na waha tu! Hata hapo mwanza wa wachaga sio wengi kama zamani hardware nyingi ni wasukuma na wakurya hata lumumba ni wasukuma watupu yaani nyinyi mna matatizo sana! Acheni sifa!
Sawa mjombaPesa hazijai, mtu atafanya kazi saa 24.? Acha watu wanywe mbege wewe
una akili sanaMiji inayofaa kuwa au kubaki majiji kwa mkakati maalumu ni
1. Dar Es Salaam
2. Mwanza
3. Mbeya
4. Arusha
5. Mtwara
6.Kigoma
7.Dodoma
8.Tanga (iongeze bidii kurejesha miundo mbinu iliyokuwa imejengwa na hayati Mwl Nyerere kama bandari, viwanda na kilimo cha mikonge)
Miji ya Kitalii iwe ni
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Iringa
4. Kagera
5. Morogoro
6. Pwani
7. Lindi
8. Ruvuma
9. Mara
10.Manyara
Mikoa ya kilimo cha mazao ya chakula
1. Songwe
2. Rukwa
3. Katavi
4. Ruvuma
5. Morogoro
6. Iringa
7. Mbeya
8. Njombe
Mkioa ya kilimo cha mzao biashara
1. Mwanza
2. Simiyu
3.Shinyanga
4. Singida
5. Tanga
6. Mtwara
7. Morogoro
Miji ya viwanda
1. Dar Es Salaam
2. Pwani
3. Morogoro
4. Mtwara
5. Tanga
6. Moshi
7. Arusha
8. Mwanza
9. Kigoma
10. Mbeya
11. Dodoma
12. Iringa
Hata ukijumlisha hayo mapato hamna kituWe naye Mwanza Jiji unapolizungumzia uelewe kuwa hujamlisha Ilemela Manspaa amvayo bdio size ya Mbeya. Sasa hiyo Mbeya yenye barabara moja tu ya maana unasema kwamba hilo ni jiji kweli kama siyo choko tu ?
Tanzania majiji tunajipajipa tu ilitakiwa yawe mawili tu DSM na MWZ kwa sasa hayo mengine bado sana
Majiji ya kisiasa.Hii ni kweli. Kwa Tanzania majiji ni dar na mwanza tu. Kwingine ni kulazimisha Mambo
Kilimanjaro msitegemee kubebwa kama Mwanza, Dodoma, Geita. Kama umeisikiliza hotuba ya Samia utajua kuwa mnaangaliwa kama watu mliopo mbele sana kimaendeleo na hasa pale aliposhangaa Kilimanjaro kulilia miundombinu ya maji ya umwagiliaji wakati mikoa mingine hawana maji ya kunywa.Moshi wapunguze mbege watafikiriwa kuwa jiji!