Mindset100
Member
- Jun 23, 2026
- 25
- 71
Katika kuzunguka mitandaoni nimekuta habari za Songea kuandaliwa kuwa jiji nikajaribu kwenda deep nione kipi kimefanya hoja hiyo hot nikaona yafuatayo:
1. UN wameitaja Songea kuwa mji unaokua kwa kasi.
Ripoti ya UN/WEF inasema nini:
A. Miongoni mwa miji 15 inayokua haraka zaidi duniani: Ripoti ya World Economic Forum, ikinukuu data za UN, iliorodhesha Songea kuwa mmoja wa miji 15 inayokua haraka zaidi duniani.
B. Makadirio ya ukuaji: Songea ilikuwa na watu zaidi ya 300,000 leo inakadiriwa kufikia 740,000 ifikapo 2035. Hiyo ni ongezeko la 110%. Kwasababu ongezeko lake ni kubwa sana.
C. Barani Afrika: Inakadiriwa kuwa mji wa 6 unaokua haraka zaidi Afrika kati ya 2020-2025, kwa kiwango cha 5.74% kwa mwaka.
Kwa kifupi: UN/WEF wanaitaja Songea kwa sababu ya kasi yake ya juu ya ongezeko la watu na uwezo wa kiuchumi unaotokana na nafasi yake kama makao makuu ya Ruvuma na ukanda wa Mtwara.
2. Tayari kuna ongezeko la pato na hii ni kutokana na ongezeko la makaa ya mawe. Ambapo pato lake linakadiriwa kuwa Bilioni 7
3. Mji wenye pato kubwa eg makaa ya mawe yanachangia na kahawa.
4. Kuna vyuo vikuu zaidi ya viwili.
5. Viwanda japo ni vichache.
6. Kuna hospitali kubwa mbili za rufaa: hospitali ya mkoa na Peramiho mission
7. Kituo cha utalii tayari ni sehemu nyenye utalii wa mbuga na historia eg. Hifadhi ya Selous na Mashujaa wa majimaji
8. Eneo la manispaa ni kubwa
9. Kuna maboresho makubwa ya mji yanaendelea kama soko jipya n.k
10 uwanja wa ndege ambao umepanuliwa na sasa barabara za lami zinawekwa uwanjani hapo.
11. Ni mji ambao kwa mikoa mitatunyabkusini yaani Lindi, Mtwara na Ruvuma. Songea ni kitovu cha uchumi na maendeleo.
NB ajabu, nilipouwauliza AI wakasema Songea ya sasa ni kubwa kuliko Iringa.