instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,784
Nani wa kulaumiwa Sasa.... Jibu ni serikali .Kahama hapana. Kahama haina mpangilioni, hakuna barabara, kila mahali ni viuchochiloro. Kahama ni kati ya miji yenye mpangilio wa ovyo kabisa. Mzunguko wa pesa upo ila ni kama vimiji vinavyozaliwa kutokana na machimbo ya wachimbaji wadogo.
Nchi za wenzetu serikali inatanguliza miundombinu baada ya kuona fursa na watu wanafata lakin tz serikali Haina time na watu wake. Ndo maana miji inakuwa hovyo hovyo
Hata dar yenyew Kuna sehemu Kuna ujenzi wa hovyo kwa sababu ya uozo wizara ya Ardhi