Moshi yakataliwa kuwa jiji

Moshi yakataliwa kuwa jiji

Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa

My take kaamua kubalance na chato

Minne inatosha
Tatizo la Moshi kutoendelea ni ukabila umetawala pale, wale jamaa huwa hawaachii ardhi kwa wawekezaji wageni (kabila tofauti na Chagga) pale Moshi town biashara nyingi ni za wenyeji. Wachaga badilikeni, kalibisheni wageni wachangamshe mji huo.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Moshi kutoendelea ni ukabila umetawala pale, wale jamaa huwa hawaachii ardhi kwa wawekezaji wageni (kabila tofauti na Chagga) pale Moshi town biashara nyingi ni za wenyeji. Wachaga badilikeni, kalibisheni wageni wachangamshe mji huo.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Neno mwingiliano na wageni huchangamsha, mfano mzuri Jiji la Dar na Mwanza.
 
Neno mwingiliano na wageni huchangamsha, mfano mzuri Jiji la Dar na Mwanza.
Hawa watu hizi mentality za "hapa ni kwetu" sijui wanatoa wapi haya mawazo ya ubinafsi na uchoyo.

Sasa watu wameacha kwenda cha ajabu wao sasa wanakwenda mikoa ya watu wanapata maeneo fresh na maisha yanaenda. Haya majitu ubinafsi sijui walirithishwa na yule babu yao sijui mangimeli sijui mangi boti.

Maana naskia hata kipindi cha uhuru yule mzee na ubinafsi wake alienda umoja wa mataifa kutaka Kilimanjaro yote ijitegemee iwe pekee yake, Nyerere akaenda kumtoa kwa knockout matata kaka rejea hapa na aibu tele.

Mimi vijitu vibinafsi huwa naviona kama nyoka. Maana huwa vinakuwa na itikadi za ubaguzi na madhara kwa wengine sana, vina jitazama vyewenye tu.

Sasa ona mji unadorora sababu ya wao kutopenda kushare na wengine..... Na utabakia hivyo hivyo na siku mtakuja maeneo yatakuja chukuliwa kinguvu na serikali watu wayatumie sasa tuone mlioyatunza kibinafsi mtapata nini!
 
Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Acha Domokaya we simbilisi jike..Mbeya Jiji Lina wakaazi takribani 600,000 na Lina mapato wastani wa bil.15 kwa mwaka mbele ya Mwanza Jiji.

Tanga Jiji Lina mapato wastani wa bil.12 kwa mwaka na wakaazi wanaokadiriwa zaidi ya 450,000 ..

Sasa.wewe unataka miji iwe kama London ndio ujue ni Jiji au?
 
Kuna faida gani mahali kuitwa jiji?
Kabla Dodoma haijaitwa jiji na sasa hivi ikiitwa jiji tofauti ni ipi?
Kwa wenzetu jiji huwa na autonomy kubwa sana ya kujiendesha. Hasa kwa sababu inakuwa na kipato cha kutosha. Hii huwa na faida sana kwa watu kuamua mambo yao kuhusu Afya, elimu, usafiri na mambo mengine ya maendeleo.

Huku kwetu ni ishu ya prestige na kisiasa.
 
Kuna faida gani mahali kuitwa jiji?
Kabla Dodoma haijaitwa jiji na sasa hivi ikiitwa jiji tofauti ni ipi?
Zipo faida za kutosha wewe ukiwa nje ya serikali hujui ila mojawapo ni kupewa kipaombele kwenye huduma na kupewa bajeti kubwa kuliko wengine,hivyo hivyo hadi Halmashauri,Mji,Manispaa na Jiji.
 
Back
Top Bottom