nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,400
- 7,796
Ooh! Sikujua hilo bossNi mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan aka (Chifu Hangaya).--- alipewa uchifu na akabatizwa jina hilo, wewe unaishi wapi ??!!Tz au??š¤£
Ooh! Sikujua hilo bossNi mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan aka (Chifu Hangaya).--- alipewa uchifu na akabatizwa jina hilo, wewe unaishi wapi ??!!Tz au??š¤£
Na chato wafanye nini ili wawe mkoa?Moshi wapunguze mbege watafikiriwa kuwa jiji!
Sio Tanga hata Mbeya ni uchafu mtupu.Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Zipo faida za kutosha wewe ukiwa nje ya serikali hujui ila mojawapo ni kupewa kipaombele kwenye huduma na kupewa bajeti kubwa kuliko wengine,hivyo hivyo hadi Halmashauri,Mji,Manispaa na Jiji.
mkuu umefika uswazi basi unaashume mbeya yote ipo hivyoHiyo mbeya ndo kabisa ushubwadu mtupu.
Mji mzima ni slums tupu Kama mbagala
Mkuu moshi inastahili sema mama katuchoma tuwe sawa na chato
Hapo umenena mkuu ni chuki tuHagai bado ni Magufuli, hapendi Wachagga
Nakazia mkuu kuna watu kama hawapo tz tena nimesema mh hangayaNi mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan aka (Chifu Hangaya).--- alipewa uchifu na akabatizwa jina hilo, wewe unaishi wapi ??!!Tz au??[emoji1787]
Ndiyo shekhe,,,c kule wanakopatikana walevi wengi na wala nguruwe š
Ulevi na ulaji wao wa kitimoto ndio maana mji wao unaitwa; KA-moshi ??!!š¤
Hii ni kweli. Kwa Tanzania majiji ni dar na mwanza tu. Kwingine ni kulazimisha Mambo
Chato Serikali iko inakamilisha vigezo vya kuufanya mkoa, leo kama sikosei Ngara na Biharamuro wameridhia kuhama kutoka Kagera kwenda Chato.Na chato wafanye nini ili wawe mkoa?
M ona husemi wilaya ya Chato inaidadi wa watu 365,127 Ina km za mraba 3,572 ,mnaipigania usiku na mchana kuwa mkoa, huku mkiiacha kuzigawanya Morogoro na Tabora zenye km za mraba zaidi ya 168,000 ?Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Hakuna kitu mbeyamkuu umefika uswazi basi unaashume mbeya yote ipo hivyo
Kahama hapana. Kahama haina mpangilioni, hakuna barabara, kila mahali ni viuchochiloro. Kahama ni kati ya miji yenye mpangilio wa ovyo kabisa. Mzunguko wa pesa upo ila ni kama vimiji vinavyozaliwa kutokana na machimbo ya wachimbaji wadogo.Mji wenyew mdogo tu ...
Mji haupanuki na bado unazeeka tu..
Unazidiwa na kahama kwa mzunguko wa pesa
Wanatafuta vibe labda...Watu Hupanda Boat kwenda Zanzibar na Kuacha Bahari nzuri Bagamoyo pale....Tena nzuri kweli.
Nadhani jiji lingekuwa moja tu, Dar. Hata Mza haina hadhi hiyo, ukilinganisha na majiji ya ncgi nyingine.Tanzania majiji tunajipajipa tu ilitakiwa yawe mawili tu DSM na MWZ kwa sasa hayo mengine bado sana
Arusha ipo vizuri zaidi kuliko Mwanza.Hii ni kweli. Kwa Tanzania majiji ni dar na mwanza tu. Kwingine ni kulazimisha Mambo