Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Shida ni moja hawaoleki sasa wasipofanya kazi watakula kwa jirani amaa..?
Mawazo ya kimaskini bhana
Kwahiyo mwanamke akiolewa haruhusiwi kufanya shughuli za kiuchumi ?
Kwa hali hiyo mtazd kubaki maskin wakati sisi kilimanjaro tukizd kupeta kimaendeleo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ila rangi zetu bana nzuri sana rangi za chungwa safi sana mpaka mzee Meko anapagawaga maana anataka ata kwenye Bombadia wawepo watoto wenye rangi ya chungwa

Chura ni nzuri kwa kulaga tuu ata hao wanakujaga Moshi wachukue mbegu za orange na mlivyo na shid ya maji mkija Moshi mnaanza kung'aa kidogo ila sura tyuuuu mimi sizipendi

Cheki sura ya mtoto hapo unaweza kupizi bila kusimamishaView attachment 1093659
Hebu leta picha nzima tuone chura!!
 
Wewe unajikomba na wamarangu kutafuta simpath?
Uchumi wa kilimanjaro Ni 40% wanawake 60% wanaume huo ndio ukweli
Kilimanjaro Ni kawaida mwanamke kumiliki maghorofa, makampuni ya utalii nk uliona wapi sehemu nyingine?
Kilimanjaro Ni developed region zaman kwahiyo maendeleo Ni jadi yetu
Kinehe nkoi
Nitajie mwanamke yeyote WA moshi anayeweza mfikia Professor Anna Tibaijuka walau hata nusu ya hela zake
 
Mtoa mada mshamba sana ilibidi ueleze baada ya wanawake was kichaga wakihangaika kutafuta hela waume zao wanafanya kazi gani sio kuzungumzia wanaume was Dar common sense
 
Shida ni moja hawaoleki sasa wasipofanya kazi watakula kwa jirani amaa..?

Sema huwezi kuwaoa, siyo hawaoleki.

Ukiwa na tabia za kidasalama, nakushauri usiwaoe Wachagga, utajuta.

Hwataki wazembe.

Wanaume gani mnamenyewa miwa, mihogo, matango,/mnaogopa vibaka
 
Hamna lolote, nioe mchanga umbo namba tisa na ghubu zote hizo, siwezi kosea huku najua wapi kosa nitalikuta..!

Mwanamke mbaya lazima ajifunze kujihudumia tu, mwanamke hana chura nani ajitese kwa mtu wa vile..?

Kama unakula chura usioe Mchagga maana wanawake wa Kichagga hawapendi uchafu.
Wanakula nyama ya mbuzi na ng'ombe.
Wewe mla chura oa wala chura wenzako.
 
Back
Top Bottom