Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Lakini hao wachaga wa Moshi ndio wamejazana hapa Dar
Mi mwenyewe ndo nimegundua kumbe wanaume wa Dar ni wachaga ambao huwa wanaleta msongamano December. Nyie midume rudi K'njaro wake zenu wanataabika asubuhi mpaka usiku hamtumi matumizi.
 
Naam wanawake wa kichaga uchumi wa kilimanjaro wanamiliki kwa 40% manake kule ma biashara makubwa unakuta Pia yanamilikiwa na wanawake
Mfano maghorofa nk
Pia makampuni ya magari yapo mengi tu ya wanawake jambo ambalo ni geni sana kwa makabila mengine hasa wahaya
Wanawake wa kihaya wengi ni wapiga majungu/wavivu
Luambo hao Wanawake huwa wanamijengo ya Wame zao waliowapitisha hivi ili wakalie hapo wao.

Lakini mkuu nyie nae nyuzi za kujisifia mmezidi, kila siku?
Hii ni dalili ya kutokujiamini. Mnajitangaza mpaka nimewapenda.
 
Moshi bhana , raha sana.

Wanawake wanapiga kazi. Wanawake wanahangaika kila mahali , kila sector bila aibu. Si mabinti , si wamama , si wabibi , si masista duu wote wanatafuta pesa usiku na mchana kama ilivyo nchi za watu.

Ukiwa bar mjini Moshi , ni rahisi sana kufanya shopping ya kila kitu cha nyumbani na vinginevyo. Kila kitu kinapita , unafanya negotiation na kununua , then una unavitupia kwenye gari kwenye buti. Hauwazi.

Dsm wanaume laini sana. Wanaogopa mvua.Wanaogopa kuchafuka.Wanaogopa matope.Wanaogopa kula ugali. Wanaogopa panya road. Waoga waoga mno.

Shida sana Dsm , raha ilioje Moshi.

Mawazo yako ya wivu tu! Ni wivu tu!
 
Back
Top Bottom