Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

kama wanawake wa moshi watafutaji wa hela kuliko wanaume wa dar mbona dar imeendelea kuliko moshi. Biashara kubwakubwa ziko dar halafu nyingi zinamilikiwa na wanaume!
 
Ila kiukweli vyanamke vya kichaga ulalamishi makelele bila break,yaani kuna kamoja ni ka ps ofcn huwa tunachangia pesa kifungua kinywa na tunampa yeye ndio anasimamia,bc anaweka utaratibu labda kila mtu andazi 2 sasa arudi akute hesabu tofauti atazunguk korido zote kupiga makelele yaani n anania,huyu n wa pili nmekutana nae anapayuka
Changia andazi acha kula ya wenzio
 
Hahah ambao hawajahi fika huku ndio wadanganye ila sio mimi niliye huku kitambooo sidanganyikiii. Kampuni nyingi za kitalii wanamiliki waarabu, wazungu na weusi wawili watatu nzuri zaidi na mimi nipo kwenye huo unaita utalii. Acha uongo wewe andika ukweli
Nazidi kukuchora tu
Yan mchaga aache fursa ya makampuni ya utalii? Unaota ndoto
Kampuni za utalii 95% Ni za wazawa kuanzia mahotel ya kifahari ya Arusha na Moshi Ni ya wachaga kwa asilimia kubwa
Mfano ngurdoto,impala,snow view,naura spring,kindoroko nk
Sisi hatuachi fursa hata kidogo ndio Siri ya mafanikio yetu
Karibu uchagani unywe supu na nyama choma za kimataifa bila kusahau mtori Kilimandjaro rahaaaaa
Nimemisi sana Homeland nipo ughaibuni huku
 
Mtoa mada mshamba sana ilibidi ueleze baada ya wanawake was kichaga wakihangaika kutafuta hela waume zao wanafanya kazi gani sio kuzungumzia wanaume was Dar common sense
Wanatafuta wote ndio Siri ya mafanikio na maendeleo ya mkoa wetu kilimanjaro
 
Nitajie mwanamke yeyote WA moshi anayeweza mfikia Professor Anna Tibaijuka walau hata nusu ya hela zake
Hizo hela za escrow?
Wanawake wa kichaga Wana fight kihalali hawategemei kupewa héla kwenye sandarusi
 
Unaoa kwa malengo kama ni hayo ya wahaya sawa au ya wachaga sawa tuu wewe na mipango yako tuu
Mkuu id Yako imenikumbusha jina la pombe za asili za wahaya zinaitwa shimwaa bila Shaka wwe ni mhaya
 
kama wanawake wa moshi watafutaji wa hela kuliko wanaume wa dar mbona dar imeendelea kuliko moshi. Biashara kubwakubwa ziko dar halafu nyingi zinamilikiwa na wanaume!
Kitakwimu,mkoa wenye gdp kubwa kwa watu wake wa Kwanza Ni dar then kilimanjar kumbuka dar 99% ya Mali Ni za wagemi sio za wenyeji wa dar
Kilimanjaro investments 90% Ni za wenyeji can you differentiate?
 
Dar ina square kilometers 1,200.

Wilaya ya Moshi ina square kilometers 1,200+.

Kwa hiyo DSM ena eneo sawa na Wilaya ya Moshi.

DSM hakuna mashamba, kwa hiyo chakula kinatoka mikoani ikiwemo Kilimanjaro.

Wilaya ya Moshi kuna mashamba ya kilimo, kwa hiyo chakula cha kutosha.

Sasa hiyo Dar ingewezaje kujitegemea kama nchi wakati haiwezi kujitosheleza kwa chakula?

Kibiashara Dar yenyewe haijitoshelezi, maana watu wa mikoani ndiyo tumewekeza huku.

Ndiyo maana mwisho wa mwaka Dar hakuna foleni, Bali Moshi ndipo kunakuwa na foleni.
Kama asipokuelewa inabidi tumpeleke mirembe
 
Mords naombeni muifute hii news kwa sababu mtoa news ametumia picha ya mtu ambaye ni mtoto wa wa tumishi wa Mungu na mm ni miongoni mwa ndg zake hatujapendezwa na kitendo hicho hivyo tafadhali naomba ifutwe haraka iwezekanavyo hii news na picha ya mdogo wetu vinginevyo tutawaripoti kunakohusika.
Picha ipi mkuu?
 
UNATAKA KUWAAMBIA NINI WANAUME WANAOKAA MOSHI ALAFU WANAWAKE ZAO WANAANGAIKA,IKO IVII WANAUME WA MOSHI WENGI WAO WANAPIGA POMBE HUKU WANAWAKE ZAO WANAANGAIKA SO MLETA MADA ILIBIDI ULIWEKE SAWA NA HILO.

MOSHI WANAWAKE WANAANGAIKA HUKU WANAUME WAKIJIKITA KUNYWA POMBE NA KULA MILUNGI HUO NDO UKWELI,SIJUI KM ULIKUWA UNALIJUA HILO.
 
Mords naombeni muifute hii news kwa sababu mtoa news ametumia picha ya mtu ambaye ni mtoto wa wa tumishi wa Mungu na mm ni miongoni mwa ndg zake hatujapendezwa na kitendo hicho hivyo tafadhali naomba ifutwe haraka iwezekanavyo hii news na picha ya mdogo wetu vinginevyo tutawaripoti kunakohusika.

Sikia wewe mende.

Usije tena PM kunieleza ufala wako.

Nimeshakuambia siyo mimi nimeanzisha na kupost hii mada, lakini bado unakuja pm kuniambia utaniripoti kwa kuweka picha sijui ya mtu gani.

Sina dhiki ya kupost mipicha ya malya humu!

Na hata sina mazoea ya kuanzisha mada humu.

Umenikera sana ww mbuzi!
 
Naam wanawake wa kichaga uchumi wa kilimanjaro wanamiliki kwa 40% manake kule ma biashara makubwa unakuta Pia yanamilikiwa na wanawake
Mfano maghorofa nk
Pia makampuni ya magari yapo mengi tu ya wanawake jambo ambalo ni geni sana kwa makabila mengine hasa wahaya
Wanawake wa kihaya wengi ni wapiga majungu/wavivu
IMG_20190511_172406.jpg
 
Moshi bhana , raha sana.

Wanawake wanapiga kazi. Wanawake wanahangaika kila mahali , kila sector bila aibu. Si mabinti , si wamama , si wabibi , si masista duu wote wanatafuta pesa usiku na mchana kama ilivyo nchi za watu.

Ukiwa bar mjini Moshi , ni rahisi sana kufanya shopping ya kila kitu cha nyumbani na vinginevyo. Kila kitu kinapita , unafanya negotiation na kununua , then una unavitupia kwenye gari kwenye buti. Hauwazi.

Dsm wanaume laini sana. Wanaogopa mvua.Wanaogopa kuchafuka.Wanaogopa matope.Wanaogopa kula ugali. Wanaogopa panya road. Waoga waoga mno.

Shida sana Dsm , raha ilioje Moshi.

Kwanini uwalinganishe wanawake Wa Moshi na wanaume Wa Dar,kwa nini isiwe Wanaume Wa Moshi na Dar?
 
Naam wanawake wa kichaga uchumi wa kilimanjaro wanamiliki kwa 40% manake kule ma biashara makubwa unakuta Pia yanamilikiwa na wanawake
Mfano maghorofa nk
Pia makampuni ya magari yapo mengi tu ya wanawake jambo ambalo ni geni sana kwa makabila mengine hasa wahaya
Wanawake wa kihaya wengi ni wapiga majungu/wavivu

Ningekupa Bonge LA mtusi ulipowataja wahaya mama na Dada zangu...Sema nna furaha ya Video ya Mzee mchungaji.
 
Mtoa mada mshamba sana ilibidi ueleze baada ya wanawake was kichaga wakihangaika kutafuta hela waume zao wanafanya kazi gani sio kuzungumzia wanaume was Dar common sense
Asante ndugu. Akili yake haina hesabu kwamba wanaume wa kichaga huacha wake zao nyumbani mwezi January eti wanaenda Dar kutafuta na wanarudi December kutia mimba. Wanaume wa Dar anaowasimanga ni wachaga. Wametelekeza wake wao mpaka shape zikaathirika. Wanaume wa Dar rudini Kilimanjaro mkawahudumie wake wenu ndugu yenu amewaaibisha.
 
Back
Top Bottom