Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Moshi bhana , raha sana.
Wanawake wanapiga kazi. Wanawake wanahangaika kila mahali , kila sector bila aibu. Si mabinti , si wamama , si wabibi , si masista duu wote wanatafuta pesa usiku na mchana kama ilivyo nchi za watu.
Ukiwa bar mjini Moshi , ni rahisi sana kufanya shopping ya kila kitu cha nyumbani na vinginevyo. Kila kitu kinapita , unafanya negotiation na kununua , then una unavitupia kwenye gari kwenye buti. Hauwazi.
Dsm wanaume laini sana. Wanaogopa mvua.Wanaogopa kuchafuka.Wanaogopa matope.Wanaogopa kula ugali. Wanaogopa panya road. Waoga waoga mno.
Shida sana Dsm , raha ilioje Moshi.