sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Hahah ambao hawajahi fika huku ndio wadanganye ila sio mimi niliye huku kitambooo sidanganyikiii. Kampuni nyingi za kitalii wanamiliki waarabu, wazungu na weusi wawili watatu nzuri zaidi na mimi nipo kwenye huo unaita utalii. Acha uongo wewe andika ukweli
Wewe unajikomba na wamarangu kutafuta simpath?
Uchumi wa kilimanjaro Ni 40% wanawake 60% wanaume huo ndio ukweli
Kilimanjaro Ni kawaida mwanamke kumiliki maghorofa, makampuni ya utalii nk uliona wapi sehemu nyingine?
Kilimanjaro Ni developed region zaman kwahiyo maendeleo Ni jadi yetu
Kinehe nkoi


ndio maana naskia wanaume wa huku wanaoa na kufanga mapenzi na wanawakw wa nchi za jirani mliangakie hili sio jambo zuri wala jema aise. 


