Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Naam wanawake wa kichaga uchumi wa kilimanjaro wanamiliki kwa 40% manake kule ma biashara makubwa unakuta Pia yanamilikiwa na wanawake
Mfano maghorofa nk
Pia makampuni ya magari yapo mengi tu ya wanawake jambo ambalo ni geni sana kwa makabila mengine hasa wahaya
Wanawake wa kihaya wengi ni wapiga majungu/wavivu

Kwani wanawake wa kihaya tulikukosea nini? Iloko
 
Nimetoa mfano tu wa wanawake wa kichaga walivyo na uchumi mkubwa ktk maendeleo ya mkoa wetu kulinganisha na nyie kwa kuwatoa mfano
Ukiachia mbali wanawake wa kihaya ambao ni wasomi,wengine hawana mchango wowote kiuchumi kwa mkoa huo zaidi ya kuwa wapiga umbea na majungu
Ohooo tatizo wana matakro kama Mariam Biriani hiyo kwao ni ujasiriamali mkubwa. Ila wana sura mbaya yaani unakutana na mdada ana tako hilo ila sasa sura ptyuu unatema mate

Angalia hii video hapa chini
 
Nimetoa mfano tu wa wanawake wa kichaga walivyo na uchumi mkubwa ktk maendeleo ya mkoa wetu kulinganisha na nyie kwa kuwatoa mfano
Ukiachia mbali wanawake wa kihaya ambao ni wasomi,wengine hawana mchango wowote kiuchumi kwa mkoa huo zaidi ya kuwa wapiga umbea na majungu
VIP Rombo wanawake kukimbilia Kenya kutafuta wanaume?

Wanawazidi wanaume Kwa sababu wengi wenu ni legelege hasa wale wa marangu

Sijui we ni mmarangu?

Tafuta muhaya uoe hutajutia kuwa mwanaume .
Waliooa wahaya wakusimulie
 
Ohooo tatizo wana matakro kama Mariam Biriani hiyo kwao ni ujasiriamali mkubwa. Ila wana sura mbaya yaani unakutana na mdada ana tako hilo ila sasa sura ptyuu unatema mate

Angalia hii video hapa chiniView attachment 1093597
Wachaga miguu na mishepu ya ovyo ovyo kama kambare.

Uzuri WA mwanamke ni chura .
Hata wew wakikuletea chura najua hutaiacha kama huko rijali
 
ila rangi zetu bana nzuri sana rangi za chungwa safi sana mpaka mzee Meko anapagawaga maana anataka ata kwenye Bombadia wawepo watoto wenye rangi ya chungwa

Chura ni nzuri kwa kulaga tuu ata hao wanakujaga Moshi wachukue mbegu za orange na mlivyo na shid ya maji mkija Moshi mnaanza kung'aa kidogo ila sura tyuuuu mimi sizipendi

Cheki sura ya mtoto hapo unaweza kupizi bila kusimamisha
 
Naam wanawake wa kichaga uchumi wa kilimanjaro wanamiliki kwa 40% manake kule ma biashara makubwa unakuta Pia yanamilikiwa na wanawake
Mfano maghorofa nk
Pia makampuni ya magari yapo mengi tu ya wanawake jambo ambalo ni geni sana kwa makabila mengine hasa wahaya
Wanawake wa kihaya wengi ni wapiga majungu/wavivu
We jamaa acha usanii ase yani hua unaandika uongo mtupu humu JF, mamaangu ni mmarangu kwa maana hiyo najua na naelewa kila kitu kuhusu huku uchagani. Hizo porojo wadanganye ambao hawapo huku boss
 
fankulo Madona..Wivu utakuua Wahaya sisi ni watu high class
 
ila rangi zetu bana nzuri sana rangi za chungwa safi sana mpaka mzee Meko anapagawaga maana anataka ata kwenye Bombadia wawepo watoto wenye rangi ya chungwa

Chura ni nzuri kwa kulaga tuu ata hao wanakujaga Moshi wachukue mbegu za orange na mlivyo na shid ya maji mkija Moshi mnaanza kung'aa kidogo ila sura tyuuuu mimi sizipendi

Cheki sura ya mtoto hapo unaweza kupizi bila kusimamishaView attachment 1093659
Dah! Nimesikitila sana, eti ndio mzuri huyu! Wakati katoa nyusi alizopewa na Mungu kachora zake!! kaazi kweli kweli
 
Moshi bhana , raha sana.

Wanawake wanapiga kazi. Wanawake wanahangaika kila mahali , kila sector bila aibu. Si mabinti , si wamama , si wabibi , si masista duu wote wanatafuta pesa usiku na mchana kama ilivyo nchi za watu.

Ukiwa bar mjini Moshi , ni rahisi sana kufanya shopping ya kila kitu cha nyumbani na vinginevyo. Kila kitu kinapita , unafanya negotiation na kununua , then una unavitupia kwenye gari kwenye buti. Hauwazi.

Dsm wanaume laini sana. Wanaogopa mvua.Wanaogopa kuchafuka.Wanaogopa matope.Wanaogopa kula ugali. Wanaogopa panya road. Waoga waoga mno.

Shida sana Dsm , raha ilioje Moshi.
Your point??
 
fankulo Madona..Wivu utakuua Wahaya sisi ni watu high class
Unanitukana kwa kiitaliano unadhan sikijui.?
Nataka nikupe taarifa nazifahamu lugha 5 za kimataifa
Mna high class gani wakati mkoa wenu ni wa 3 kwa umaskini ? Au una maanisha high class ya umaskini?
 
We jamaa acha usanii ase yani hua unaandika uongo mtupu humu JF, mamaangu ni mmarangu kwa maana hiyo najua na naelewa kila kitu kuhusu huku uchagani. Hizo porojo wadanganye ambao hawapo huku boss
Wewe unajikomba na wamarangu kutafuta simpath?
Uchumi wa kilimanjaro Ni 40% wanawake 60% wanaume huo ndio ukweli
Kilimanjaro Ni kawaida mwanamke kumiliki maghorofa, makampuni ya utalii nk uliona wapi sehemu nyingine?
Kilimanjaro Ni developed region zaman kwahiyo maendeleo Ni jadi yetu
Kinehe nkoi
 
VIP Rombo wanawake kukimbilia Kenya kutafuta wanaume?

Wanawazidi wanaume Kwa sababu wengi wenu ni legelege hasa wale wa marangu

Sijui we ni mmarangu?

Tafuta muhaya uoe hutajutia kuwa mwanaume .
Waliooa wahaya wakusimulie
Nenda rombo ndio ukaone wanaume walivyo strong hayo Mambo ya Kenya zilikuwa ni propagande za kisiasa za 2015
 
Back
Top Bottom