mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Ruksa. Andika tu.Mi cjasema kuna barua za Paulo ila kuna Surat Maida ambayo ukiamua kuandika humu ukweli utajua uhusiano wa hiyo sura na kiti moto.
Ruksa. Andika tu.Mi cjasema kuna barua za Paulo ila kuna Surat Maida ambayo ukiamua kuandika humu ukweli utajua uhusiano wa hiyo sura na kiti moto.
Mtaalamu wa afya za binadamu koko huyo hajui majini yakiingia mwili wa MTU yanavyoweza athiri afya ya binadamu mla kitimoto huwezi vamiwa na jiniWewe nae utasema ni mtaalamu wa afya ya wanyama na Binadamu?
endeleeni kuyaamini.Sisi tumeamua kuyaamini wewe imekuathiri vipi hiyo?
Mtaalamu wa afya za binadamu koko huyo hajui majini yakiingia mwili wa MTU yanavyoweza athiri afya ya binadamu mla kitimoto huwezi vamiwa na jini
Elimu yake itakuwa na Expansion Joints2. Kwa kikoro (Kwa mama kibonge) hapo ni self service kama una utaalaam wa kukiandaa/kupika unakabidhiwa jiko wewe tu na roho yakoDar es salaam
1.Sabasaba
4.mama kababy junctionBukoba aka bk ni
1.uswahilini qbar
2.kashai center
3.sky motel
4.
5.
6.
7
Wacha maneno yako weweAya ya 7 na 8![]()
Nitakuwa mtu wa mwisho hapa duniani kujitoa kwenye Ukristo.BIBLIA haifundishi hivyo vinginevyo useme.
UMEJITOA KUWA MKRISTO.
Mimi unanionea bure. Sio maneno yangu hayo. Mimi mwenyewe nimeyakuta kwenye BIBLIA. Kosa langu ni lipi?Wacha maneno yako wewe
Ila tunaambiwa kila neno la biblia lafaa kufundishiaUNALETA BARUA ZA PAULO?
BARUA ZA PAULO NI MANENO YA MUNGU?
Kwani ukristo ni nini?Nitakuwa mtu wa mwisho hapa duniani kujitoa kwenye Ukristo.
huo mkusanyiko wa vitabu vingi.Ila tunaambiwa kila neno la biblia lafaa kufundishia
Hamna jazba mi nakwambia usitoke povu kwa kitu kisichokuhusu. Sisi tunaruhusiwa kula we shida yako nn? Muhamad na Koran havitoshi hadi unagangaika na Biblia? Kuwa mkristu na wewe ufaidi kitimoto safi na ndizi rostiPunguzajazba.hatugombani.tunaelimishana.soma AYA ya 42.mmekatazwa kula wanyama wote wanaotembeleatumbo.na wanaotembelea miguu 4![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Husisahau mianzini piaArusha
1. Starlight
2.
3.
Matendo ya mitume 10:12-15.Punguzajazba.hatugombani.tunaelimishana.soma AYA ya 42.mmekatazwa kula wanyama wote wanaotembeleatumbo.na wanaotembelea miguu 4![]()
![]()
![]()
![]()
![]()