MOSHI : Wanazengo wanakula bia 24 hrs ! Hela wanatoaga wapi ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Nimekua Moshi kikazi kwa wiki 3 mfululizo. Na mm huwa napenda sana kuzurura mtaani.

Watu wanakula pombe Moshi jamani. Wanamlalamilia JPM lakini hapana. Wanayo mawe.

Nenda Hugos Garden , Q wine bar , Seven 11, East Africa , Minjas Pub , Oriental na Aventure kote huko watu wako fully wanakula vitu muda wote.

Moshi ni mji wa ajabu sana.Starehe haziishagi.

Haya bhana.

Pesa ipo.
 
Njoo malindi hapa saivi, we upo wapi

Hahaha hayo yanatokea nchi nzima, umeona ya hapo ulipo, huku tulipo ni hivyo hivyo kama huko. Pesa ipo, kelele unazozisikua ni siasa zetu, hakutakiwa tangu alipopitishwa kuwa mgombea, hata alivyotangazwa kywa kashinda, na hata leo na kesho. Watasema hali nzuri akishinda wampendaye.
Pesa haijawahi kutoweka ipo mtaani na huo ndio uchumi.
 
Unadhani pesa imeadimika kwa wenye nazo???Watu wa hali ya chini sana ndio wanahenyeka kisawasawa,bajeti ya pombe kwa wenye nazo ipo tu!
 
Hahaha pesa haijahadimika, class ipo tu hata rais ningekuwa mimi. Watu wapo wa level zote kimaisha hata iweje, na pombe kila mtu ana choice yake, wapo wasiolewa au kunywa pombe zenu za kisasa wao hunywa pombe za kienyeji hata kama wanamudu kunywa pombe za kisasa. Pombe sio kipimo cha uchumi, wapo wasiokunywa kabisa ama wana pesa au hawana. Kuna masikini hulewa ulanzi, mbege,machicha, wanzuki, komoni, chibuku na mnazi kila siku. Hivyo kulewa watu hulewa regardless hali zao kimaisha, ni prioritize za mtu tu.
AKILI NI ZAKO, ZITUMIE.
 
Nimekua Moshi kikazi kwa wiki 3 mfululizo. Na mm huwa napenda sana kuzurura mtaani.

Watu wanakula pombe Moshi jamani. Wanamlalamilia JPM lakini hapana. Wanayo mawe.

Nenda Hugos Garden , Q wine bar , Seven 11, East Africa , Minjas Pub , Oriental na Aventure kote huko watu wako fully wanakula vitu muda wote.

Moshi ni mji wa ajabu sana.Starehe haziishagi.

Haya bhana.

Pesa ipo.
Pombe inanywekaa Mekuu
Anaingia mtu anatoa ofa meza zootee kreti 2 elf 72 bei ya jumla
 
Hahaha pesa haijahadimika, class ipo tu hata rais ningekuwa mimi. Watu wapo wa level zote kimaisha hata iweje, na pombe kila mtu ana choice yake, wapo wasiolewa au kunywa pombe zenu za kisasa wao hunywa pombe za kienyeji hata kama wanamudu kunywa pombe za kisasa. Pombe sio kipimo cha uchumi, wapo wasiokunywa kabisa ama wana pesa au hawana. Kuna masikini hulewa ulanzi, mbege,machicha, wanzuki, komoni, chibuku na mnazi kila siku. Hivyo kulewa watu hulewa regardless hali zao kimaisha, ni prioritize za mtu tu.
AKILI NI ZAKO, ZITUMIE.
Umeona maeneo yaliyotajwa na mleta mada ni kwa wanywa komoni?
Mzunguko wa fedha umepungua,nenda katafute clip ya Mafuru,aliyekuwa mkurugenzi wa hazina alipofanya mahojiano na clouds 360 na utaongeza uelewa wa kinachozungumzwa,interview hiyo ipo yourube,nikipata nafasi nitakuwekea hapa!
Report za mabank inaonesha kushuka kwa uwezo wa kukopa na kurejesha mikopo!Yaani uwezo wa kukopa na kufanya biashara kisha kurudisha mkopo kimeshuka,hii inamaana moja,biashara hazitabiriki!Uwezo wa watu kufanya manunuzi umepungua!
 
Back
Top Bottom