Machache Nayoyaona kutoka mji wa Moshi

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,853
4,549
Habari ya ijumaa Wana jf,

Najua mko poa sana pole na harakati za hapa na pale,

Twende kwenye Mada,

Nipo likizo kikazi ya siku 28 kama unavyojua makampuni yetu haya Wanatoa siku 28 tu, sasa nikaona sio mbaya likizo hii nikawa mji wa Moshi kutokana na nimebahatika kupata mtoto wa kiume na mwanamke wa kichaga

Nina wiki ya pili sasa nipo hapa Kibosho kuna sehemu inaitwa Boro chini Dar es salaam ni Dar es salaam tu. Nimefika watu wa nashangaa shangaa Mgeni anajulikana tu always.

Siwasifii wachaga lakini kiukweli Wana heshima sana hawez kupishana na wewe bila ya kukusalimia au mkubwa au mdogo Salam zao ni kichaga mimi najibu Kiswahili.

ULEVI
vijana Wana jitahid sana kupiga pombe kiukweli hii ipo wazi 98%. Pombe za kienyeji tupu wachache wa napiga Bia, huku ni mbege tupu.

MAENDELEO
Hawa jamaa wamepiga hatua sana kwenye suala la kujenga kwao, watafutaji sana then wanajenga kwao sio haba.

PISI KALI
wachaga hawana shepu miguu.

Lakini Wana sura nzuri nzuri.

Sio wazuri sana kwenye suala la sex.
 
Lkn Wana sura nzuri nzuri.

Sio wa zuri sana kwenye suala la sex.
Kwenu ni wapi ili tukuchambue?
 
Mbona umesahau la kutanguliza wenza wao kwa sir god wanakulia timing tu.
Hii ipo kote refer yule dada yako wa Kinyakyusa aliyeuwa mume na yule bibi yako wa Katavi aliyeuwa mume mzee wa 67 kisa shamba heka 6.

Ni matukio yapo duniani kote haijalishi ni wapi!
 
Kwa akili hyo, tusingewaona wazaz wetu wote wawil, au hata mabab na mabibi zetu.......acha ujinga wa story za vijiwen na magrupuni......
Mkuu Tanzania kila mkoa una sifa yake ukubali usikubali iwe nzuri au mbaya na hyo ndo sifa ya mkoa huo ukiachana na ulevi kupitiliza kule rombo kwa hyo kama ni mushi huna budi kukubali tu historia inasema hvyo huwezi ifuta.
 
Hii ipo kote refer yule dada yako wa Kinyakyusa aliyeuwa mume na yule bibi yako wa Katavi aliyeuwa mume mzee wa 67 kisa shamba heka 6.

Ni matukio yapo duniani kote haijalishi ni wapi!
Ila kilimanjaro ndo kinara wachaga mnapenda sifa mkiambiwa ndo mkoa unaongoza kwa wasomi mnakubalii ila mkiambia ndo mkoa unaongoza kwa wajane Tanzania mnakataa hzo akili za wapi inabidi ukubali kama mnavyokubali wachaga wengi wamesoma
 
Sio poa. Mi sio mchaga lakini nakuwa advocate wao kwa hili.
Wachaga ni watu wazuri.

Wanashinikizana kutafuta maendeleo,mapungufu ya kibinadamu kama wengine wanayo, lakini ni "most modern and civilized tribe in Tanzania".Tuzo hii wameibeba muda mrefu.

La wanawake wa kichaga: wanawake wa kichaga wengi ni warembo na wanavutia. Suala la chumbani ni la mmoja mmoja na juhudi zake binafsi.

Namalizia: Tuwaige wachaga katika mema yao, mapungufu ya wengi wanaowasimanga yanazidi ya wachaga mbali sana.

NB: Nimezunguka vijijini(rural areas) kiasi chake bara na visiwani nimejionea...
 
Najikuta naongeza kidogo kuhusu ujasiri wa wachaga katika kutafuta maendeleo, upande wa elimu wachaga hawasiti kuwaruhusu mabinti zao kujitafutia maendeleo, wamewapeleka shule mapema wakati sehemu nyingine jamii zikisita.
Wamewajengea silika na hulka ya kutafuta maisha wakibariki na kutoa ruhusa.
Ni rahisi kwa watu wa jamii ile kuruhusu binti yao wa miaka 20 kusafiri kwa lengo la kusaka kazi/kipato.
Makabila mengine wengi ukiona binti karuhusiwa mara nyingi yuko katika wanachokiona kama "loss zone" mfano kaacha shule na kuzalia home.
Kabla ya kuwa diss wachaga kagua jamii yako...
Kuna mkoa maarufu niliwahi kwenda yani suala la "kunya" ilibidi wapigiwe kampeni nzito kujenga vyoo, na walikuwa kipindi fulani wanakuwa na kipindu pindu sana, imagine kipindu pindu vijijini daah
 
Inasemakana wakati mungu alivyomaliza kuumba aliwaambia wanawake simameni mkauke ila wanawake wakichagga waligoma ndio maana walipigwa pasi.
 
Ukishakula chakula cha mchana njo hapa kwa mushi karibu na mashamba ya kahawa tupige mbege
 
Mkuu malizia shughuli zako zilizokupekeka huko, Kisha urudi acha umbea
... mbea kweli huyo; nilivyoona kachagua sehemu inaitwa "Boro" kama kitovu cha simulizi lake moja kwa moja nikaona malicious intent aliyokuwa nayo.
 
Back
Top Bottom