Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,265
Ungesema moshi na arusha
Dah umemuweza uyu kenge leoMathayo 15 : 11
Sio kile kiingiacho kinywani chamtia mtu unajisi bali kimtokacho kinywani.
Una uelewa wa kuelewa au hujaelewa?
Sawaendeleeni kuyaamini.
Bablai mwambie anakosa utamu huyo shauri yake.. Yule mdudu jamani kaumbwa..Ndio umeishia hapo tu?
![]()
![]()
![]()

Msimu huu 40% ya uchumi wa JMT unahamia pande hizo...!!Kaskazini ni balaa lingine
washaanza safari zao mkuu..Huu ndio mwezi ambao moshi na wachaga hutamkwa mara nyingi.

Hajui faida ya kitimoto huyo eti anaongelea minyooo!! dawa za minyoo mbona ziko kibao tena unakunywa kidonge kimoja tu unapona Jini likikuingia hata hao wasabato hawana tiba za hayo matunda na vitu vyao vya kula natural.Hakuna chakula natural chaweza zuia jini kukuingia au kulitoa.Hiyo ni kazi ya kitimoto .kula sana kitimoto kuepuka majini.Wachaga hufanikiwa popote kibiashara au ofisini nk sababu hawasumbuliwi na majini.Uchawi wa majini haumgusi mchaga mla kitimoto ukimtupia litakurudia kukumaliza uliyelituma![]()
Elimu yake itakuwa na Expansion Joints
Mkuu sijazungumzia mkusanyiko wala waandishi mi naongelea maneno ambayo yapo tayari kwenye biblia yanafaa kutumika??huo mkusanyiko wa vitabu vingi.
Waandishi wengi
Wanaojulikana. Na wasiojulikana.
mpaka kuna vitabu na baadhi ya waandishi mkaamua kuwakataa.
WATU AMBAO SI WANAFUNZI WA YESU. WATU AMBAO HAWAJAWAHI KUMUONA YESU. AKINA MATHAYO, LUKA, PAULO N.K.WALIOHADITHIWA NA WAO WAKAAMUA KUANDIKA. MANENO YAO YATAWAFUNDISHA NINI?
Tatizo.pumba na mchele vipo pamoja.Mkuu sijazungumzia mkusanyiko wala waandishi mi naongelea maneno ambayo yapo tayari kwenye biblia yanafaa kutumika??
Tafadhali sheheee tusije onana wabayaKuna mpango mkubwa wa serikali wa kuanzisha Ranch ya Nguruwe huko Unguja na Pemba
Ugomvi wangu Mimi na ninyi upo hapo.Hamna jazba mi nakwambia usitoke povu kwa kitu kisichokuhusu. Sisi tunaruhusiwa kula we shida yako nn? Muhamad na Koran havitoshi hadi unagangaika na Biblia? Kuwa mkristu na wewe ufaidi kitimoto safi na ndizi rosti
Bila shaka unayoyaamini ndo itakuwa pumba, next time soma vizuri kwanza usije kuaibikaTatizo.pumba na mchele vipo pamoja.
Nilijua utasema hivyo , ila wee unataka barua aliyoandika jini?

umeniacha hoi aseeMuogopemungu.walawi 11:7-8 ni PUMBA?Bila shaka unayoyaamini ndo itakuwa pumba, next time soma vizuri kwanza usije kuaibika
Muogope wewe kwanza kwa kudharau biblia kwamba ni kitabu kimeandikwa na wajanja, kwani biblia ni neno la Mungu iweje maneno yake uyakatae na kusema ni pumba ndan ya mcheleMuogopemungu.walawi 11:7-8 ni PUMBA?![]()
barua za Paulo ni maneno ya mungu?Muogope wewe kwanza kwa kudharau biblia kwamba ni kitabu kimeandikwa na wajanja, kwani biblia ni neno la Mungu iweje maneno yake uyakatae na kusema ni pumba ndan ya mchele