MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

. Unaleta MANENO ya mjanja mjanja. Paulo
MUHARIBU WA DINI.
Anawaambia MTU ASIWAPANGIE KITU CHA KULA. WALA CHA KUNYWA.
INA MAANA NYIE HATA POMBE MNAKUNYWA TU.
Sana.Tunampenda sana huyo mjanja mjanja
 
Sasa kama unajua hilo unachoshangaa sisi kula nguruwe ni nini kama unajua hivyo.

Na hakuna walaji wazuri wa kitimoto kama nyie sema kuandika ulafi wa mtu jukwaani hapa sio vyema.
NIMESHAKUJIBU ISHU SIO KULA. WALA ISHU SIO KUZINI.
ISHU NI KUKUBALI KUWA NGURUWE NA KUZINI VYOOOOTE TUMEKATAZWA.
TATIZO NINYI MNATAKA KUHALALISHA KITIMOTO. KITU AMBACHO NI KINYUME NA BIBLIA. MNATAKIWA MKUBALI KUWA BIBLIA IMEKATAZA KULA NGURUWE LAKINI NINYI MNAKULA KWA MAPENZI YENU.
 
. Unaleta MANENO ya mjanja mjanja. Paulo
MUHARIBU WA DINI.
Anawaambia MTU ASIWAPANGIE KITU CHA KULA. WALA CHA KUNYWA.
INA MAANA NYIE HATA POMBE MNAKUNYWA TU.
Nafikiri unajua vyema kwann Surat maida ilipatikana.
Pana chezea kiti - fire
 
NIMESHAKUJIBU ISHU SIO KULA. WALA ISHU SIO KUZINI.
ISHU NI KUKUBALI KUWA NGURUWE NA KUZINI VYOOOOTE TUMEKATAZWA.
TATIZO NINYI MNATAKA KUHALALISHA KITIMOTO. KITU AMBACHO NI KINYUME NA BIBLIA. MNATAKIWA MKUBALI KUWA BIBLIA IMEKATAZA KULA NGURUWE LAKINI NINYI MNAKULA KWA MAPENZI YENU.
Naona Nguruwe wanakuuma sana unataka uenyekiti wa Chama cha Kutetea Nguruwe (CHAKUNGU)?

Usikomalie andiko moja na kwanini hutaki kukubali pia agano jipya ambalo liliwapa watu ruhusu ya kula chochote kile ili mradi kisiwatoke?
 
TATIZO agano lipya Starling. Ni PAULO.
Mjanja mjanja Fulani.
Aliyekaa na pen yake na karatasi zake. Akaamua kuwaandikia watu BARUA.
MANENO anayojua yeye.
Wakati HAKUWA MWANAFUNZI wa yesu wala HAJAWAHI hata KUMUONA yesu.
Wala hakuwa nabii wala MTUME.
Mtayaamini vipi maneno yake?
 
NA ILIKUWAJE BARUA ZA PAULO ZIKAINGIZWA KWENYE MANENO YA MUNGU. WAKATI HAKUWA MTUME. WALA MWANAFUNZI WA YESU WALA HAJAWAHI KUMUONA YESU?
Muulize Paulo mwenyewe.
Huu ni uzi unahusu kitimoto.
Anzisha wako tukujibu.
 
TATIZO agano lipya Starling. Ni PAULO.
Mjanja mjanja Fulani.
Aliyekaa na pen yake na karatasi zake. Akaamua kuwaandikia watu BARUA.
MANENO anayojua yeye.
Wakati HAKUWA MWANAFUNZI wa yesu wala HAJAWAHI hata KUMUONA yesu.
Wala hakuwa nabii wala MTUME.
Mtayaamini vipi maneno yake?
Nitaamini Vipi Maneno ambayo yaliandikwa Miaka 2000 iliyopita? Ile hali hakuna hata ushahidi wa Maandashi? Hebu nisaidieni niamini vipi kuwa tulikatazwa kula Nguruwe unaweza kuweka Video wakati hilo tamko linatolewa enzi hivyo George Maratu!
 
TATIZO agano lipya Starling. Ni PAULO.
Mjanja mjanja Fulani.
Aliyekaa na pen yake na karatasi zake. Akaamua kuwaandikia watu BARUA.
MANENO anayojua yeye.
Wakati HAKUWA MWANAFUNZI wa yesu wala HAJAWAHI hata KUMUONA yesu.
Wala hakuwa nabii wala MTUME.
Mtayaamini vipi maneno yake?
Sisi tumeamua kuyaamini wewe imekuathiri vipi hiyo?
 
Haikuhusu kaa na islam yako. Kama unaona wivu na wewe kula. Nguruwe wapo wengi sana. China peke yake wapo zaidi ya mil 450.
Punguzajazba.hatugombani.tunaelimishana.soma AYA ya 42.mmekatazwa kula wanyama wote wanaotembeleatumbo.na wanaotembelea miguu 4
3db89b055a8df75af5f084006e8c6f4f.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom