MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

Moshi ni mji wa kitalii.Mji ulioanza kuona wazungu hapa Tanzania.

Pombe kali na kitimoto rosti ni wengi sana bila kujali jinsia. Watoto wadogo na vibinti vinakula pombe sana.

Vijiwe maarufu vya kitimoto Moshi mjini ambavyo ni maarufu ni:-

Mbosho

MINJAS Pub Majengo stand

Toroka uje- Kiboroloni

Masikio

Msonge

Pamela Pub - Soweto

Unakuta mtu anashusha konyagi kubwa na kitimoto rosti na ugali.

Moshi raha sana

Yes......Kwani kuna tatizo..........?.....
 
Pia kuna maeneo mengine huko Moshi maarufu kwa huduma hiyo ambayo ni:
-Kwa Kipanga, Majengo
-Scorpion pub, Soweto
 
Kuna mpango mkubwa wa serikali wa kuanzisha Ranch ya Nguruwe huko Unguja na Pemba
Duh..!!

Hii haina tofauti na yule waziri wa mifugo wa Urusi aliyeishauri serikali yake itoe mikopo yenye riba ndogo ili kuwezesha wafugaji kufuga nguruwe kwa wingi ili wapeleke Indonesia na kuongeza pato la Urusi....!!!
 
Lisiongezwe wala kupunguzwa neno lolote maana kila neno lafaa.... Sasa sijui hiyo mamlaka na ujasili unaitoa wapi????
KAMA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU.NIAMBIE YAKUBU ALIPIGANA NA MUNGU GANI MPAKA AKAMSHINDA? SOMA AYA YA 28.
c885f7d72b9aad5a2a1884502b693b14.jpg
 
Back
Top Bottom