MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,300
2,000
Moshi ni mji wa kitalii.Mji ulioanza kuona wazungu hapa Tanzania.

Pombe kali na kitimoto rosti ni wengi sana bila kujali jinsia. Watoto wadogo na vibinti vinakula pombe sana.

Vijiwe maarufu vya kitimoto Moshi mjini ambavyo ni maarufu ni:-

Mbosho

MINJAS Pub Majengo stand

Toroka uje- Kiboroloni

Masikio

Msonge

Pamela Pub - Soweto

Unakuta mtu anashusha konyagi kubwa na kitimoto rosti na ugali.

Moshi raha sana
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
25,687
2,000
Ndio maana wana Akili nyingi.

Ukiishia kula kashata na urojo unakuwa ngumbaru jike.
Aya ya 7 na 8
 

Cardinal06

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
963
225
Ndio maana wana Akili nyingi.

Ukiishia kula kashata na urojo unakuwa ngumbaru jike.
Hahahahahah wale wa Mekuz, MDC Club, Pub Alberto, Club LaLiga, Black Diamond, Malindi.....mcm huu mahudhurio yanakuwa mazuri....lazma wa'log in ktk moja ya hizo bar
 

mrmufindi

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
640
500
Wasabato bwana huwa wanasimamia agano la kale bila marejeo ya agano jipya. Mbona agano jipya maandiko yanasema KIMWINGIACHO MTU SIO NAJISI BALI KIMTOKACHO. Najiuliza tu kuwa hivi akili ukiifungia chumbani bila kuona nje itakuwa open mind or closed mind
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom