MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

KAMA BIBLIA NI MANENO YA MUNGU.NIAMBIE YAKUBU ALIPIGANA NA MUNGU GANI MPAKA AKAMSHINDA? SOMA AYA YA 28.
c885f7d72b9aad5a2a1884502b693b14.jpg
Kwan maneno ya Mungu tunayapata wapi???????
 
WEKA NA KAPICHA MKUU YA HYO NYAMA PENDWA, INGAWA WENZETU WANASEMA HAWAITUMII LAKINI CHA AJABU WAKIFUNGA MWEZ WAO ULE MAUZO YANAPOROMOKA KWA KASI YA 5G
 
Kwenye kitimoto uliweka vifungu sasa nipe kifungu ambacho Mungu aliteua hao unaosema, Tatizo lako unataka kuruka ile hali huna mabawa.
Sasa Kama hata mitume na manabii. Hauwajui.
NAKUONA UPO HAPA KIUBISHI ZAIDI.
Unatakiwa uniombe nikufundishe. Usijibizane na Mimi maana hoja huna.
 
HAKUNA MTU ANAYEKATAA KUWA HAYO MAKOSA NI DHAMBI.
TATIZO NINYI HAMTAKI KUKUBALI UKWELI. KUWA BIBLIA IMEKATAZA KULA NGURUWEE
Labda imewakataza nyie, ndio maana imani yenu ya kisheria sio ya kiroho
 
Nme pa miss Sana moshi enzi hzo,karanga pr,changbay, Soweto,kiboroloni,magorofani,shant town,majengo.
Mwakani itabd nikatembelee uko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom