mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,794
kwanini WALAWI 11: 7-8 HIZO AYA hauzitaki.?Itungwe kwani imekuwa Kile kitabu cha Muddy alichodai kashushiwa kutoka angani?
Umehitaji Aya nimekuonesha Aya.
kwanini WALAWI 11: 7-8 HIZO AYA hauzitaki.?Itungwe kwani imekuwa Kile kitabu cha Muddy alichodai kashushiwa kutoka angani?
Umehitaji Aya nimekuonesha Aya.
Sizitaki?kwanini WALAWI 11: 7-8 HIZO AYA hauzitaki.?
Kwani WALAWI na nyie WAKRISTO wa sasa TOFAUTI YENU nini mpaka. Useme waliambiwa WALAWI na sio WAKRISTO wa sasa?Hebu kuwa muelewa:
Kwani jamaa hapo amezungumzia BIBLIA waliyoandikiwa wana wa Lawi au AGIZO?
SASA KWANINI UNAKULA NGURUWE WAKATI UMEKATAZWA?Sizitaki?
Unaweza kudhibitisha kuwa sizitaki?
Kwani ukila Nguruwe na yule anaezini kuna tofauti gani na kwani mnashupaza shingo kwenye mlo wa nguruwe?kwanini WALAWI 11: 7-8 HIZO AYA hauzitaki.?
Kula kiti moto kwenye lodges zenu wanaruhusu?Moshi ni mji wa kitalii.Mji ulioanza kuona wazungu hapa Tanzania.
Pombe kali na kitimoto rosti ni wengi sana bila kujali jinsia. Watoto wadogo na vibinti vinakula pombe sana.
Vijiwe maarufu vya kitimoto Moshi mjini ambavyo ni maarufu ni:-
Mbosho
MINJAS Pub Majengo stand
Toroka uje- Kiboroloni
Masikio
Msonge
Pamela Pub - Soweto
Unakuta mtu anashusha konyagi kubwa na kitimoto rosti na ugali.
Moshi raha sana
Kwani ukila Nguruwe na yule anaezini kuna tofauti gani na kwani mnashupaza shingo kwenye mlo wa nguruwe?
Hebu msituongezee Frustration kabisaaaa kila mtu ale anachopenda kama ni haramu Mungu hakuwa Mjinga kuviumba wewe hata kama nyama ya mwanadamu ni tamu kwako kula.
Kuzini nako mngekuwa mnakupa nguvu kama Mnavyosemea kitimoto nadhani dunia ingekuwa sawa sana.
we kula tu. Lakini jua ushaambiwa. Huku bukoba na senene kwa sana kipindi hiki ukishushia na kitimotoMoshi ni mji wa kitalii.Mji ulioanza kuona wazungu hapa Tanzania.
Pombe kali na kitimoto rosti ni wengi sana bila kujali jinsia. Watoto wadogo na vibinti vinakula pombe sana.
Vijiwe maarufu vya kitimoto Moshi mjini ambavyo ni maarufu ni:-
Mbosho
MINJAS Pub Majengo stand
Toroka uje- Kiboroloni
Masikio
Msonge
Pamela Pub - Soweto
Unakuta mtu anashusha konyagi kubwa na kitimoto rosti na ugali.
Moshi raha sana
Nashangaa sana kushupalia nguruwe na kuacha wazi milango mengine ikipitisha dhambi ambazo mnaona hazina nguvu, Kama kutokula kitimoto kutakufanya uende mbinguni basi nakutakia safari njema.![]()
![]()
we kula tu. Lakini jua ushaambiwa.
NGURUWE NI NAJISI KWENU. MSIILE NYAMA YAKE. WALA MZOGA WAKE MSIUKARIBIE.
kiingiacho sio najisi bali kitakachoKama kuna sehemu. Mmeambiwa mle nguruwe kwenye biblia IWEKE.
Unaweza ukala matapishi?kiingiacho sio najisi bali kitakacho
Kwani wanaokula wamepata madhara gani mpaka sasa?SASA KWANINI UNAKULA NGURUWE WAKATI UMEKATAZWA?
unajua tofauti ya agano la kale na jipya???KWA HYO HIZO AYA ZA WALAWI ZIMETUNGWA?
Mimi sijaandika bibliaNashangaa sana kushupalia nguruwe na kuacha wazi milango mengine ikipitisha dhambi ambazo mnaona hazina nguvu, Kama kutokula kitimoto kutakufanya uende mbinguni basi nakutakia safari njema.
Unakomaa na Nguruwe
! nguruwe! Kwani nikila hata kama ni najisi wewe unaumia nini, mimi kula nguruwe tu unaumia je leo nikikutafuna si utalia machozi.
BIBLIA haifundishi hivyo vinginevyo useme.Kwani wanaokula wamepata madhara gani mpaka sasa?
Wanyama ambao hawaliwi ni ambao hawakuumbwa tu , waliobaki kama hana sumu ya kukuua au kukudhuru ruksa kula , usipokula wewe watakula wenzio.
Kuna mfanyakazi mwenzangu aliniuliza kwanini nakula kitimoto wakati maandiko yanakataza , nkampa vifungu vya agano jipya ku justify ulaji wa kitimoto, hakurudi na majibu.Wasabato bwana huwa wanasimamia agano la kale bila marejeo ya agano jipya. Mbona agano jipya maandiko yanasema KIMWINGIACHO MTU SIO NAJISI BALI KIMTOKACHO. Najiuliza tu kuwa hivi akili ukiifungia chumbani bila kuona nje itakuwa open mind or closed mind
ur point is irrelevant to my previous commentWAPI MMEAMBIWA KWENYE BIBLIA WAKRISTO WA TANZANIA MUENDE KANISANI?