Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Tunakula kwa Mizuka yetu wala isikupe shida.Sina MSEMO. hapo sawa.![]()
Tunakula kwa Mizuka yetu wala isikupe shida.Sina MSEMO. hapo sawa.![]()
hahaha unataka ugomvi na wapemba wewe hahahhaNdio maana wana Akili nyingi.
Ukiishia kula kashata na urojo unakuwa ngumbaru jike.
hyo dhambi. Tukianza kufukua makaburi yake hapa.Nyie kuna sehemu mliambiwa mlawitiane?
Huyo ana njaa mkuu naomba achana ne akiona Nguruwe anapatwa na Frustration na Expansion Joints.mambo ya walawi ni agano la kale ndo walikataza
lkn yesu aliruhusu kwenye agano jipya
UNALETA BARUA ZA PAULO?Biblia inasema vyakula vyote vipokelewe na kuliwa kwa shukrani baada ya kuviombea 1Tim 4 : 1 - 5 .
Kama unaipenda Biblia na kuiamini andiko hilo hapo linaloruhusu misosi kuliwa ikiwemo kitimoto.Kama hutaki unaweza tu kujinyea.
HahaaaaaKuna sehemu mmeambiwa mle mbuzi kwenye Biblia. IWEKE

Kula na sumu basi Maana pia imeumbwaKwani ukila Nguruwe na yule anaezini kuna tofauti gani na kwani mnashupaza shingo kwenye mlo wa nguruwe?
Hebu msituongezee Frustration kabisaaaa kila mtu ale anachopenda kama ni haramu Mungu hakuwa Mjinga kuviumba wewe hata kama nyama ya mwanadamu ni tamu kwako kula.
Kuzini nako mngekuwa mnakupa nguvu kama Mnavyosemea kitimoto nadhani dunia ingekuwa sawa sana.
Sasa kama unajua hilo unachoshangaa sisi kula nguruwe ni nini kama unajua hivyo.hyo dhambi. Tukianza kufukua makaburi yake hapa.
HAKUNA DINI ITAKAYOBAKI SALAMA.
Mwisho wa siku LIWATI NI DHAMBI NA CHUKIZO KWA MUNGU.
KWA DINI ZOTE
Waliambiwa wakila wanapata madhara gani au Mungu Anakasirika kwa kiwango gani?![]()
![]()
we kula tu. Lakini jua ushaambiwa.
NGURUWE NI NAJISI KWENU. MSIILE NYAMA YAKE. WALA MZOGA WAKE MSIUKARIBIE.
Nilijua utasema hivyo , ila wee unataka barua aliyoandika jini?UNALETA BARUA ZA PAULO?
BARUA ZA PAULO NI MANENO YA MUNGU?
yeah wana kuwa kama N'koreaWasabato bwana huwa wanasimamia agano la kale bila marejeo ya agano jipya. Mbona agano jipya maandiko yanasema KIMWINGIACHO MTU SIO NAJISI BALI KIMTOKACHO. Najiuliza tu kuwa hivi akili ukiifungia chumbani bila kuona nje itakuwa open mind or closed mind
Wewe nae sijui unatokea kifungoni kwenye msamaha wa rais, Unajua vyakuumbwa na kutengenezwa? Hakika kama utotoni mwako mama yako hakukupenga kamasi kweli lazima uwe zuzu.Kula na sumu basi Maana pia imeumbwa
Hebu tusiwe watu wa kukariri ungekuwa umekariri kila dhambi ukawa mbali nazo ungekuwa na nguvu katika imani sana sasa wewe komaa na Nguruwe watu tumeanza kula hadi Mamba nahisi unaumia sana kuona nguruwe analiwa ila huna namna kila siku wanazalishwa wengine kwa ajili ya mlo wa ndizi, usisahau bao moja la nguruwe ni watoto zaidi ya 8 sasa fikiria njisi gani tutanenepa.




spare my ribs pls...Hadithi za akina Abuu Sufian na kina Othman ni maneno ya Mtume Muddy wa mecca?UNALETA BARUA ZA PAULO?
BARUA ZA PAULO NI MANENO YA MUNGU?
Nilijua utasema hivyo , ila wee unataka barua aliyoandika jini?


. Unaleta MANENO ya mjanja mjanja. Paulo