kitakali kiwofu
Senior Member
- Oct 3, 2013
- 173
- 24
uyu jamaa ana wafuasi wengi kuliko ata KINANA,, sasa akitoka nao ata robo tatu tu!!!
magamba WATER OF NECK( MAJI YA SHINGO)
magamba WATER OF NECK( MAJI YA SHINGO)
Kamanda usikurupuke kujibu pumba wapi nimesema hana haki, sikiliza wewe kauzu unapoingia kwenye siasa lazima watu wakujadili umesikia! watu wanamjadili Rais Kikwete sembuse huyu chizi.
Hakuna mtu anaeshangaa kwa afande sele kuwa chadema. Yeye ni mfano wa vijana waliopo chadema. Na sishangai atapewa nafasi ya kugombea ubunge.
Karibu kamanda.
uyu jamaa ana wafuasi wengi kuliko ata KINANA,, sasa akitoka nao ata robo tatu tu!!!
magamba WATER OF NECK( MAJI YA SHINGO)
Naikumbuka theory yako ya "kujiuzia vitumbua" sasa toka lin afande sele hakuwahi kuwa chadema?? Ni chadema siku zote na ndio aina ya vijana waliopo chadema.
sixgates hakuwahi kuwa chadema. Fuatilia comments zake utajua
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Asante mungu kwa kumuondoa sixgates cdm,,
Akae akijua kwamba cdm ina maadui wengi sana , hivyo asishangae kuona nyimbo zake zikipigwa marufuku na RUGE kuchezwa clouds fm .
Kidudu ntu huyu hapa,kama chio chichiemu chijui. Yamenchinda ya homeboy Nape Nnauye chacha kageukia kurucha nchale kwa chadema, huko chchiemu ndo hakuna machafuko? Wagombanao ndo wapatanao njomba!Wakaribishe kwa moyo mkunjufu na ujifunze kutunza siri,kusuluhisha migogoro na kumaliza matatizo ndani ya chama!Haileti picha nzuri wakati tunapokea wageni huku wenyeji tumeshikiana marugu kwa vitu visivyo kuwa na msingi wala faida katika chama chenye kukubalika na watanzania kwa asilimia 100%
Afande sele miaka yote yupo chadema. Kama muuza vitumbua, hakuna mnunuzi, kw hiyo ameamua kujiuzia. Chadema imechokwa haraka tofauti na matarajio ya wengi
wewe umelogwa nini.
Duh, hivi sugu sikuiz yupo wapi? Ninayo clips ile ambayo anatolewa nje ya bunge na police.. Scene iliyonifurahisha ni pale police walipokuwa wamembeba, walivyofika katika lango la kutokea ile milango ilivyofunguliwa tu, akatupwa nje ya ukumbi kam taka. Dah polisi walimfanyia unyambisi.
Nyie si muna dharau, hata juzi ilipowekwa post hapa "Ally Bananga amerudi ccm" mulikuja mkatukana, ooh yule gamba, ni mchumia tumbo, bahati nzuri akaja mwenyewe hapa kumbe alinukuliwa vibaya facebook. Nyuso zikawashuka.
Nilikuwa chadema tena nimeperform kazi za kiutendaji kbs. Take it or leave it.